sanjomnyama
JF-Expert Member
- Mar 20, 2016
- 261
- 160
Wadau natafuta Rafiki wa kike wakubadilishana mawazo pia awe Smart pia msomi kiasi kwa kuwa na min bado nasoma kuanzia 18-22 pia awe anahofu ya Mungu mwenye kujielewa nin anafanya,awe mweupe kiasi flan