Joined
Jun 12, 2016
Messages
15
Likes
0
Points
3
Age
38

King708

Member
Joined Jun 12, 2016
15 0 3
Habari,

Nimepata recommendation ya kujaribu JF ili kutafuta rafiki wa kike.

Mimi ni kijana, mwenye wa kadri ya miaka 30, nafanya kazi Dar, na nitapendelea kupata msichana/mwanamke anayejielewa kwa maana ambaye anahitaji kuwa na mahusiano ya msingi na yenye makusudio ya kuleta matunda kimaisha.

Napenda michezo, kama mpira wa kikapu, miguu, tennis, na hata huwa naangalia na kufuatilia Olympics wakati mwengine.

Ni msomaji wa vitabu, napenda novels za mapenzi, drama, bios, na napenda zile za upelelezi pia.

Napenda mziki wa aina mbali mbali na napendelea movies pia.

Ningependelea kupata mwanamke anayefanya kazi, ama biashara zake, mwenye umri kati ya 23 mpaka 40, awe anaishi Dar kama kipaumbele ila mkoani pia ni sawa, ikiwa mikoani nitapendelea kupata mtu aliyepo Moshi, Arusha, Geita, Mwanza, Morogoro au Zanzibar.

Dini haijalishi, ila akiwa mwenye misimamo ya ki-utu na kujithamini ni vyema zaidi na nitafurahi kupata mwanamke anayejua kupika, si lazima sana ila kiasi chake na itakuwa vyema akiwa anajitegemea ama yuko mbioni kujitegemea.
 
Joined
Aug 24, 2016
Messages
24
Likes
3
Points
5

Nakombo

Member
Joined Aug 24, 2016
24 3 5

Kila la heri kaka
 
Forum statistics

Threads 1,189,903
Members 450,860
Posts 27,652,961