Natafuta mpenzi ambaye atakuja kuwa mke

Gazzer

Member
Sep 12, 2012
54
12
Mimi ni kijana mwenye miaka 27 mwislam,nipo Kanda ya ziwa, natafuta msichana mwenye akili ya maisha, haijalishi mkoa gani yupo,
umri chini ya 27 au 27
dini sio kigezo sana,
elimu sio kigezo piah,
awe na malengo kimaisha.

#ni pm#
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom