Natafuta mchumba wa kike aliye sirias

Natafuta mchumba wa kike aliye sirias

BwanaX

Senior Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
123
Reaction score
46
Natafuta Mchumba wa kike aliye serious.

Umri wangu ni miaka 29 Mkristo nimeokoka, Nina ishi DSM na ni mfanya biashara.Msichana naye mtafuta awe na umri si zaidi ya miaka 28, awe mwenye kumuogopa Mungu,

Karibuni tuwasiliane hapa
 
Namba yako pls
 
aliye 'siria(s)' au nchi ya Syria?

Nimechangia kulingana na kichwa cha mada.
 
Haya sasa wala chipsi mayai kaz kwenu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom