Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Ni kijana wa miaka 27 nipo Mwanza (kikazi) natafuta mchumba/mke umri kuanzia 18 na kuendelea, ni pm kwa mawasiliano zaidi.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi ni kijana wa miaka 31, nimwajiliwa serikalini, nahitaji mwanamke wa kuishi naye kama mke. Sifa; 1.Mrefu 2.Mweupe 3.Mcha Mungu 4.Awe tayari kuishi mazingira ya kijijini kwa wakati huu. Aliye...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
natafuta rafiki wa kweli jinsia awe mwa kike miaka 30-50 awe anaishi dsm awe mpenda out ajue viwanja awe ananitembeza ila tu asiniuze maana wanawake sisi? sitaki kudalaliwa awe na kipato...
9 Reactions
62 Replies
5K Views
Mm ni kijana wa miaka 21 natafuta mchumba wa kuwa na malengo nae na sio wa muda mfupi 2.Kwa aliye tayar anicheck inbox.
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habarini za asubuhi, Mimi ni Mtanzania ninaishi Trondheim, Norway nimekuja mbele yenu kutafuta rafiki wa kike anayeishi Norway (hasa Trondheim). Naomba kama yupo aniPM. AHSANTENI.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
any race, religious, ethics, education, location,,,, age U25. I tall slim not black neither white, Christian, haya living dar es saaam, interested lady call\text 0713 123 160. DONT REPLY HERE.
0 Reactions
0 Replies
591 Views
Habari zenu wakuu. kama kuna mdau ana namba zozote za kina dada poa jamani naomba anipatie hapa, p/se guys msaada wenu wadau.
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Nahitaji rafiki wa kike,umri kuanzia miaka 24-26
0 Reactions
0 Replies
659 Views
Habari zeni wakuu, natumani hamjambo na mkiendelea na maisha kwa rehema ya mungu wetu. Nina miaka 27, sina mtoto, niko chuo mwaka wa mwisho( 1st degree),nataka kuwa mmke, kama kuna yeyote...
13 Reactions
116 Replies
14K Views
Kichwa cha post chajieleza. Nipo kigoma kikazi Na nitakuwepo takribani miezi mitatu,naomba kampani yako ewe mdada. Tafadhali atakae kuwa interested karibu pm.tuzungumze.
0 Reactions
3 Replies
756 Views
Heshima kwenu ndugu zangu. Natafuta "MKE" sio mwanamke......kwa sababu wanawake wapo wengi lakini ambao wanafaa kuwa "MKE" ni wachache sana. Kuwa mwanamke haimaanishi kuwa wewe unafaa kuwa "MKE"...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Aliye tayari ani pm tuongee mengi namba ya simu pia itakuwa vizuri tuwasiliane kwa haraka zaidi.
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Umri:20-26 Elimu: Shahada Asiwe na mtoto, Awe mkiristo Mwembamba; maji ya kunde au mweupe. Mrefu wastani Sifa zangu Umri 27, elimu yangu ni shahada, maji ya kunde, mkiristo, Nina hofu ya Mungu...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Tafadhali heshima izingatiwe kwa anaye comment so kama huwezi ku comment pita kwa heshima.
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Natafuta mke awe mwalimu nurse au mjasiriamali, mimi naishi Dar lakini kwa sasa nipo Kampala kikazi. Mimi ni mechanics umri miaka 20_25.
0 Reactions
40 Replies
3K Views
Amani iwe nanyi. Natafuta mdada wa kuchati naye na kubadilishana mawazo, nimeajiriwa katika sekta binafsi na kwa sasa niko Kanda ya ziwa.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kama wewe unajiamini ni mrembo huna makuu zingatia sifa hizi -usiwe maneno mengi -usiwe mlevi wa kuchart -km unamagroup ya watsap hakikisha nakuwa member -Lazima uwe na mtoto (mmoja tu) na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndugu wanajamiiforum heshima kwenu wakuu. mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 natafuta mke mwenye ajira yoyote inayomwingizia kipato ili nishilikiane nae kujikwamua kiuchumi, binafsi nipo...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Wasifu wangu; Age 30,Elimu chuo kikuu, kazi - nimeajiriwa, nipo Dar, Sifa za mchumba wa kike Age 22 and above. Sina ubaguzi wa kabila, dini , etc. Cha msingi upendo wa dhati. Njoo PM mchumba...
0 Reactions
0 Replies
776 Views
Mimi ni kijana wa miaka 25 urefu1.8 meter na ni maji ya kunde pia ni mwajiriwa serikalini, natafuta mke wa kuanza nae maisha mwenye umri kati ya miaka 20-25, dini yoyote ile awe mzuri wa kuvutia...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom