Natafuta mume anayeishi Dar

Natafuta mume anayeishi Dar

josephinelui

New Member
Joined
Sep 19, 2016
Posts
4
Reaction score
7
upload_2016-9-19_19-24-51.jpeg

Am Josephina from Dar es salaam, nimeajiriwa, nina miaka 33, msomi mwenye elimu ya chuo kikuu, mwembamba sio mrefu sana wala mfupi ni wa wastani, chocolate colour nimeokoka nampenda Yesu hivyo nina hofu ya Mungu moyoni mwangu sambamba na hilo ni mbunifu wa mambo mbalimbali na nafanya kazi kwa bidii yoyote ile natafuta mchumba aliye SERIOUS ili baadae aje kuwa mume wangu mpenzi wa ndoa.

Mwenye sifa zifuatazo: Awe mkristu mwenye hofu ya Mungu wa umri wa miaka 34 mpaka 38, anaishi DAR, mrefu,mwembamba, muajiriwa au mfanya biashara, msomi, mwenye mapenzi ya dhati, asiyekuwa AMEOA na asiye na mtoto, mwenye mawazo ya kimaendeleo, msafi, na anayejituma kwa maendeleo ya familia yetu, awe mvumilivu.

Kwa mawasiliano na mimi piga namba.

Piga no hii +255672433591
 
Mbona nasikia mkiwa kwenye mkesha mkiimba nyimbo za kusifu na kunena kwa lugha Mungu anawajibu fasta tena mkiwa below 30yrs.
 
Hakuna mwanaume ambae hana tatizo la kibiologia wala kifizikia mwenye umri wa miaka 34-38 hakawa hana mtoto na hajaoa nadhani ungetoa kigezo cha kuto kuwa na mtoto kwa umri huo
 
Mkuu ungeeleza na sifa nyinginezo ie papuchi ikoje maana 33 yrs nahic papuchi imefika kiwango cha ladhaless,
By the way mungu akusaidie
 
Waaume wa Dar es salaam ndo maana tunaambiwa tuna matatizo!!! mtoto amesha kuwekea namba ya simu hapa kwenye bango, harafu unaleta mbwembwe eti akufuate inbox!!!
unataka umwombe vocha??
 
Re
 
Mimi wa Dar,nimeajiriwa na nina sifa zote ila kabla sijapiga hio namba nitumie picha kwanza nione kama una sura kama unapuliza moto au mrembo.
 
inaweza kuwa na kaukweli etiiiiiii atafute wa mikoani ee? nipe changamoto za wa dar!
Wanachagua sana, wanashindana na wadada kuagiza chipsi mayai ila madhara take utayajua wakati wa mechi, wanavaa heleni, wanakimbizwa na panya road hats kama mko wore atakutelekeza.
 
Back
Top Bottom