Hii ni dhamila ya kweli. Nahitaji kupata mke kutoka humuhumu JF. Awe chini ya miaka 30 maana mimi nina miaka 33. Mwenye dhamila ya kweli kama mimi, tafadhali tuwasiliane kwenye namba 0717938489...
Mimi ni mdada, miaka 30 nashukuru Mungu nimeajiriwa serikalini, si mrefu simfupi maji ya kunde . Nina tatizo la uzazi
Natafuta mume mwenye sifa zifwatazo.
_tatizo. La uzazi,
_Umri 30 _40...
Natafuta mrembo humu JF,tusomane kwa miezi 6 kwanza.
1.Bill ya nyumba alipe miezi 3 na Mimi nitalipa miezi 3 jumla miezi 6 ya kujifunzana tabia.
Tukikoleana tufunge harusi.
Nimechoka kuishi...
Mimi ni msichana wamiaka 32 mkazi wa Arusha, natafuta mtu ambae yuko teyari kuingia kwenye seriously relationship now, I'm in Dar for a month kama unaitaji njoo inbox.
Mimi ni kijana mwenye miaka 28 nafanya kazi sirari mkoa wa mara.Natafuta mchumba wa kike 18-25 wa kuoa hata kesho ila sijatahiriwa.
Aliye tayari anipm.
Natafuta mchumba ambaye atakuwa mke wangu wa maisha siku si nyingi..
Sifa zangu
1.Mrefu.
2.Maji ya kunde.
3.Mwili wa wastani.
4.Mkristo.
5.Mfanyabiashara
sifa zake
1.Mrefu,
2.Maji ya kunde au...
Wasifu wangu.
Elimu:nina shahada ya kwanza, umri wangu miaka 29.
Nahitaji msichana kuanzia umri wa miaka 25 na kuendelea.
Sichagui dini wala kabila wala kiwango cha elimu,muhimu awe na mapenzi ya...
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 28, nafanya kazi Sirari mkoa wa Mara. Natafuta mchumba wa kuoa hata kesho,awe na umri wa miaka 18-25 ila sijatahiriwa.
Aliyetayari ani pm tupeane...
Nimechoshwa Na Upweke, Nimechoka Kutapeliwa, Naomba Nifunguke Kwako Juu Ya Moyo Wangu Japo Sina Mali Japo Sina Mahari Na Sijapata Mpenzi.
Kuhusu Maisha Yangu... Mimi Sina Ajira Yoyote Zaidi Ya...
Kama wewe ni msichana na unapenda kufurahi..,unapenda utani ila sio ulioptiliza waweza nicheki sijali umri wala dini wala kabila ila pia fahamu mimi single...
Habari za saa hivi wanaJF,
Let me go straight to my point, mimi ni msichana single 25 this year, napenda sana kusafiri kuliko maelezo, yani for leisure na adventure kipato changu ni cha kawaida...
Mimi ni kijana 27 years of age. Turning 28 next year January 15th. Ni mtu na kazi yangu na nina elimu ya Degree. Nimezaliwa na kusoma Kenya na kazi pia nafanyia huku. Sasa nataka kuoa msichana wa...
Mimi nilishawahi kuweka tangazo humu la kutafuta mke lakini sijampata aliyekua na vigezo.
Mimi nahitaji mwanamke wa kuoa, umri wangu 26yrs, muislam elimu yangu ni nina bachelor degree.
Mwanamke...
Kama wewe unajiamini ni mrembo huna makuu zingatia sifa hizi
-usiwe maneno mengi
-usiwe mlevi wa kuchart
-km unamagroup ya watsap hakikisha nakuwa member
-Lazima uwe na mtoto (mmoja tu) na...
Mimi Ni mume wa mtu,mke wangu yupo nje ya nchi kimasomo.
Natafuta mwanamke wa kunipa kampani wakati huu wa upweke mpaka pale wife atakaporudi....
Awe na sifa zifuatazo:
1. Miaka 20 hadi 34
2...
Wasifu wangu
Age 30,Elimu chuo kikuu, kazi - nimeajiriwa, nko dar,
Sifa za mchumba wa kike
Age 22 and above. Sina ubaguzi wa kabila, dini , etc. Cha msingi upendo wa dhati.
Njoo PM mchumba tuyajenge
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.