Mwanaume mwenye upungufu wa nguvu za kiume au uume mdogo awe mume

switi

Senior Member
Jul 5, 2016
104
154
Salamu!

Kila mtu ana mapungufu yake na kuwa na mapungufu hayo kusimzuie kupata faraja na upendo. mimi ni mwanamke, nahitaji mwanaume ambaye MUNGU akipenda baada ya kufahamiana tuwe mume na mke.

Sifa za mwanaume:
Awe na upungufu wa nguvu za kiume au uume mdogo.
Mkristo
Miaka 29-34
Kazi halali inayomwingizia kipato
Elimu kuanzia kidato cha sita.

Sifa zangu:
Sina upungufu wa nguvu za kike, mkristo, miaka 28, nina shughuli ya kuniingizia kipato, Shahada ya kwanza.

ALIYE TAYARI TUKUTANE PM, kwa kufahamiana zaidi.

NB: "Everyone has a right to love and be loved"
 
UUME MDOGO KWA KIPIMO KIPI?...WATAALAMU WANASEMA WANAUME WOOTE KWA ASILIMIA 95 WANA UUME ZINAZOKARIBIANA KWA SIZE..ILA HIYO ASILIMIA 5 ILIYOBAKI NDIO WAKO KINA MANDINGO NA WALE WA ESKIMO WA MISITU YA KONGO.

KUWA SPECIFIC KWA SZIZI YA UUME MDOGO UNAOUTAKA.... KUHUSU UPUNGUFU WA NGUVU NADHANI KWA DSM WAPO TELEEE WAMEJAA NA HAPA NAVYOANDIKA WENGINE WANAMALIZIA VIJINGUVU VYAO VILIVYOBAKIA KWA KULA VIHEPE CHIPSI MAYAI NA KUKU WA KISASA.
 
salamu!
kila mtu ana mapungufu yake na kuwa na mapungufu hayo kusimzuie kupata faraja na upendo. mimi ni mwanamke, nahitaji mwanaume ambaye MUNGU akipenda baada ya kufahamiana tuwe mume na mke.
sifa za mwanaume.
awe na upungufu wa nguvu za kiume au uume mdogo.
mkristo
miaka 29-34
kazi halali inayomwingizia kipato
elimu kuanzia kidato cha sita.

sifa zangu
sina upungufu wa nguvu za kike, mkristo, miaka 28, nina shughuli ya kuniingizia kipato, shahada ya kwanza.
ALIYE TAYARI TUKUTANE PM, kwa kufahamiana zaidi.

NB: "Everyone has a right to love and be loved"
Vigezo ninavyo ila nina miaka 36
 
UUME MDOGO KWA KIPIMO KIPI?...WATAALAMU WANASEMA WANAUME WOOTE KWA ASILIMIA 95 WANA UUME ZINAZOKARIBIANA KWA SIZE..ILA HIYO ASILIMIA 5 ILIYOBAKI NDIO WAKO KINA MANDINGO NA WALE WA ESKIMO WA MISITU YA KONGO.

KUWA SPECIFIC KWA SZIZI YA UUME MDOGO UNAOUTAKA.... KUHUSU UPUNGUFU WA NGUVU NADHANI KWA DSM WAPO TELEEE WAMEJAA NA HAPA NAVYOANDIKA WENGINE WANAMALIZIA VIJINGUVU VYAO VILIVYOBAKIA KWA KULA VIHEPE CHIPSI MAYAI NA KUKU WA KISASA.

we
Kwhyo huyo mwanaume kaz yake kubwa nyumbn nn hasA
tendo lina nafasi yake ila naamini kuwa familia bora na yenye amani na furaha inajengwa na vitu vingine vingi, na upungufu wa nguvu pamoja na umbile ni tatizo la kisaikojia ambalo baada ya muda huwa si tatizo tena.
 
Back
Top Bottom