Natafuta Mume

Natafuta Mume

josephinelui

New Member
Joined
Sep 19, 2016
Posts
4
Reaction score
7
Am Josephina from Dar es salaam, nimeajiriwa, nina miaka 33, msomi mwenye elimu ya chuo kikuu, mwembamba sio mrefu sana wala mfupi ni wa wastani, chocolate colour nimeokoka nampenda Yesu hivyo nina hofu ya Mungu moyoni mwangu sambamba na hilo ni mbunifu wa mambo mbalimbali na nafanya kazi kwa bidii yoyote ile natafuta mchumba aliye SERIOUS ili baadae aje kuwa mume wangu mpenzi wa ndoa.

Mwenye sifa zifuatazo: Awe mkristu mwenye hofu ya Mungu wa umri wa miaka 34 mpaka 38, anaishi DAR, mrefu,mwembamba, muajiriwa au mfanya biashara, msomi, mwenye mapenzi ya dhati, asiyekuwa AMEOA na asiye na mtoto, mwenye mawazo ya kimaendeleo, msafi, na anayejituma kwa maendeleo ya familia yetu, awe mvumilivu.

Kwa mawasiliano na mimi piga namba.

Piga no hii +255672433591
 
Sifa karibu zote ninazo lkn umri tu ndio tabu nina miaka 29 utampata tu lkn uskate tamaa
 
kwa umri wako dada yangu! 33..utapata lakini ongeza kidogo umri angalau ufike 45-50 yrs! kila kheri ndugu yangu
 
Nitumie picha yako kwanza nione kama unavutia tukiongozana mahali popote.

Kama una sura mbaya potezea.

Kama uko poa ni PM.
 
Am Josephina from Dar es salaam, nimeajiriwa, nina miaka 33, msomi mwenye elimu ya chuo kikuu, mwembamba sio mrefu sana wala mfupi ni wa wastani, chocolate colour nimeokoka nampenda Yesu hivyo nina hofu ya Mungu moyoni mwangu sambamba na hilo ni mbunifu wa mambo mbalimbali na nafanya kazi kwa bidii yoyote ile natafuta mchumba aliye SERIOUS ili baadae aje kuwa mume wangu mpenzi wa ndoa.

Mwenye sifa zifuatazo: Awe mkristu mwenye hofu ya Mungu wa umri wa miaka 34 mpaka 38, anaishi DAR, mrefu,mwembamba, muajiriwa au mfanya biashara, msomi, mwenye mapenzi ya dhati, asiyekuwa AMEOA na asiye na mtoto, mwenye mawazo ya kimaendeleo, msafi, na anayejituma kwa maendeleo ya familia yetu, awe mvumilivu.

Kwa mawasiliano na mimi piga namba.

Piga no hii +255672433591

Mtu wa mungu kama una hofu ya mungu moyoni kwako kwa nini usisubiri mungu akufunulie mume???
 
Am Josephina from Dar es salaam, nimeajiriwa, nina miaka 33, msomi mwenye elimu ya chuo kikuu, mwembamba sio mrefu sana wala mfupi ni wa wastani, chocolate colour nimeokoka nampenda Yesu hivyo nina hofu ya Mungu moyoni mwangu sambamba na hilo ni mbunifu wa mambo mbalimbali na nafanya kazi kwa bidii yoyote ile natafuta mchumba aliye SERIOUS ili baadae aje kuwa mume wangu mpenzi wa ndoa.

Mwenye sifa zifuatazo: Awe mkristu mwenye hofu ya Mungu wa umri wa miaka 34 mpaka 38, anaishi DAR, mrefu,mwembamba, muajiriwa au mfanya biashara, msomi, mwenye mapenzi ya dhati, asiyekuwa AMEOA na asiye na mtoto, mwenye mawazo ya kimaendeleo, msafi, na anayejituma kwa maendeleo ya familia yetu, awe mvumilivu.

Kwa mawasiliano na mimi piga namba.

Piga no hii +255672433591
mwanamke Mwenye miaka 33 hatoi masharti ya kuolewa, wewe utakuwa na matatizo yaani una 33yrs then una masharti ya jinsi gani muoaji awe kweli???????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
sh

shukurani
 
1474369323028.png
1474369336323.png
 
Huko kanisani hujawaona, kwenye mikesha ya ibada nako wamejaa wenye sifa za ajabu ajabu ila wewe tu!?
 
package yako imekamilka mpaka namba umeweka bado picha tu umalize kila kitu walio serius na wewe watakuja piemu mengineyo hapa yaache tu kama yalivyo
 
Back
Top Bottom