Tuwaseme
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 645
- 1,191
Kuna huyu Binti n rafiki angu sana, ni rafiki wa kawaida tu. Ila amekuwa akinifanyia vitu kama mpenzi wake vile. Yan ananijali kuliko hata mpenz wangu. Yeye ana mpenz wake pia. Kila muda lazima anipigie simu au ani text.. Kujua nimeamkaje, mchana atataka kujua kama nimekula au la.
Weeknd ataomba tutoke out, nikisema niko busy inakuwa ishu , atanuna bila sababu.
Sasa Jana ilikuwa hivi, kapiga simu kama mara 3 haikupokelewa, baadae nikamtumia Text 'Samahani simu yangu alikuwa anatumia my Girlfrnd, Vip ulikuwa unasemaje'. Ukweli ndo huo Simu yngu wakat anapiga alikuwa anaitumie bibie.
Akanijibu.. Kuanza leo sitokutafuta tena, maana naona kama najipendekeza kwako. Nikamuuliza.. Kosa langu nn? Hakunijibu tena.
Ndugu zangu wana Jf mshawai kukumbana na mkasa kama huu.. Yani mtu anakujali zaidi hata ya mpenz wako mpaka unaogopa mnakoelekea mnaweza saliti wapenz wenu...