Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,469
- 3,761
Watu wenye masihara wamevamia jukwaa hili,unakuta MTU ameweka post ya kutafuta mpenzi kumbe hayuko serious,anataka aone tu wangapi watampaparikia! hasa wasichana na wanawake ndo wenye tabia hizi!
Utakuta wanawake wote wanaotadufuta wapenz humu huwa ni 'NEW MEMBERS'Wanafanya hivi ili kutogundulika na wanaume ambao pengine walishafanya nao communication before!
Binti mwingine kaweka bango lake kuwa anatafuta mchumba,tena kaweka na namba za simu!wachumba wanampigia simu anapokea na kuanza kutukana matusi
'we mshenzi mkubwa aliyekuambia mi natafuta mchumba nan?mngese wew!'
Kwa siku zijazo tabia hizi zikidumu kutakuwa hakuna haja ya kuingia jukwaa hili ili kutafuta mwenza.
Watu wenye mizaha,dhihaka,jeuri,dharau na wazandiki ndo wamejaa katika jukwaa hili!
N.B-IMEKUWA VIGUMU KUPATA MPENZI JF, WATU WANAJIRUDIA WALEWALE KWA MAJINA TOFAUTITOFAUTI!