Ninafikiri naweza kupata a serious wife toka humu JF

TGInnocent

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
1,088
578
Ninafuatilia taraka kwa mke tuliyeshindwana kuendelea kuishi naye. Maswali yatajibiwa kwa potential wife through pm. Wasema hovyo wanaruhusiwa kuongea kuondoa stress zao. Ex wife anajijua, naomba usilete fujo kwenye pm, ila unaruhusiwa kujieleza hapa.

Maelezo ya msingi yanayo nihusu kusaidia mwenye kuamua
1. Sina mali yoyote, ila niko kuijenga
2. Umri miaka 65
3. Kazi, mkulima
4. Watoto wa kufikia 4, wote above 7 years
5. Dini sio muhimu.
 
we mzee acha masihara miaka 65 huna mali yoyote? hebu weka hicho kipengele vizuri tukuelewe la sivo hapa utakosa mke.
Nyenyere wanakusalimia mkuu!...........wanasema hicho kikojoleo unachoficha ficha na hutaki kiliwe na wanaume watakila wao!
 
Mwanaume mwenzangu hicho kifungu namba 1 kikisomwa sambamba na kifungu namba 2 cha wasifu wako inawezekana ndio sababu zilizopelekea uwe unashughulikia talaka sasa hivi.

Nini kifanyike sasa, mosi jipe muda kurekebisha point namba moja maana namba 2 ni ngumu kurekebisha kisha ndio uje na hili bandiko Mzee wangu
 
Back
Top Bottom