Nimefikia muda kuwa na Familia, kwa aliye tayari kwa Ndoa ajitokeze

Msukuma Msomi

Senior Member
Feb 6, 2017
173
149
Hodi wanaJF,

Trending news ni Makonda na vita thidi ya madawa ya kulevya, naunga mkono mapambano hayo, lakini naendelea na ratiba yangu ambayo leo ndio siku yangu rasmi ya kutangaza nia ya Kuchumbia na Kuoa kupitia Mtandao pendwa JamiiForums.

Kama upo Dar, na wewe ni binti ambaye upo tayari kuingia kwenye mahusiano ya Ndoa, tafadhali jitokeze tuzungumze. Mimi niko wazi, utanifahamu na nitakupeleka Mwanza kwa wazazi ukiwa tayari, na makazi yetu kama wanandoa yatakuwa hapa Dar es Salaam. Naomba niweke wazi yafuatayo:

  • Muda wetu wa kudate utakuwa mfupi, kwahiyo naomba ajitokeze binti/mwanamke aliye tayari kwa Ndoa kabisa, tutadate mbele kwa mbele.
  • Nimeamua kuoa mimi binafsi, pia kazi yangu inanitaka niwe na Mke ili kujiongezea heshima kwenye jamii, pia wazazi wameshabariki maamuzi yangu.
  • Naomba nisiwe mnafiki; mimi ni Msukuma, hivyo napenda mwanamke mweupe au maji ya kunde.
  • Mimi ni msomi, hivyo kasoro ya kupishana umri kwa wanandoa/wachumba kwangu haina nafasi, ukinizidi umri, sawa, nikikuzidi, sawa.
  • Naomba uwe mkazi wa Dar es Salaam. Mimi kwasasa naishi Hotelini (nilikuja kikazi na nina miezi 2 sasa), bado naangalia maeneo mazuri ya kukodi nyumba ya kuishi.
  • Ukiwa na elimu ya chuo na kazi yako, tutapaa kiuchumi haraka. Ukiwa huna kazi, nitakutafutia ajira sawasawa na elimu yako.
  • Dini yangu ni mkristo, rangi yangu ni maji ya kunde, umbo langu ni athlete/la kimichezo, umri wangu ntakwambia PM, kazi yangu ntakwambia PM, haiba yangu ni mchezi, udhaifu wangu ni upole.
Mwenye nia ya dhati aje PM.

NB: Kama kuna mwanaJF anamfahamu binti/mwanamke mwenye hitaji kama langu, basi asisite kunijulisha PM.
 
msukuma unatutega hivihivi sio? njoo ukae kwangu hadi upate nyumba tuanzie hapo kwanza ndoa itajiseti tu yenyewe
Kumbeeee....., huwa najipa mawazo kwamba zali la mentali lilimtokeaga prof Jay tu kwenye ngoma yake kumbe hata huku ukipanga maneno vizuri inawezekana.
 
Asante kuunga mkono juhud za rais kupambana na wauza ngada. Hongera Sana uko smart.
 
Hodi wanaJF,

Trending news ni Makonda na vita thidi ya madawa ya kulevya, naunga mkono mapambano hayo, lakini naendelea na ratiba yangu ambayo leo ndio siku yangu rasmi ya kutangaza nia ya Kuchumbia na Kuoa kupitia Mtandao pendwa JamiiForums.

Kama upo Dar, na wewe ni binti ambaye upo tayari kuingia kwenye mahusiano ya Ndoa, tafadhali jitokeze tuzungumze. Mimi niko wazi, utanifahamu na nitakupeleka Mwanza kwa wazazi ukiwa tayari, na makazi yetu kama wanandoa yatakuwa hapa Dar es Salaam. Naomba niweke wazi yafuatayo:

  • Muda wetu wa kudate utakuwa mfupi, kwahiyo naomba ajitokeze binti/mwanamke aliye tayari kwa Ndoa kabisa, tutadate mbele kwa mbele.
  • Nimeamua kuoa mimi binafsi, pia kazi yangu inanitaka niwe na Mke ili kujiongezea heshima kwenye jamii, pia wazazi wameshabariki maamuzi yangu.
  • Naomba nisiwe mnafiki; mimi ni Msukuma, hivyo napenda mwanamke mweupe au maji ya kunde.
  • Mimi ni msomi, hivyo kasoro ya kupishana umri kwa wanandoa/wachumba kwangu haina nafasi, ukinizidi umri, sawa, nikikuzidi, sawa.
  • Naomba uwe mkazi wa Dar es Salaam. Mimi kwasasa naishi Hotelini (nilikuja kikazi na nina miezi 2 sasa), bado naangalia maeneo mazuri ya kukodi nyumba ya kuishi.
  • Ukiwa na elimu ya chuo na kazi yako, tutapaa kiuchumi haraka. Ukiwa huna kazi, nitakutafutia ajira sawasawa na elimu yako.
  • Dini yangu ni mkristo, rangi yangu ni maji ya kunde, umbo langu ni athlete/la kimichezo, umri wangu ntakwambia PM, kazi yangu ntakwambia PM, haiba yangu ni mchezi, udhaifu wangu ni upole.
Mwenye nia ya dhati aje PM.

NB: Kama kuna mwanaJF anamfahamu binti/mwanamke mwenye hitaji kama langu, basi asisite kunijulisha PM.
Huo uchiz aisee umekosa wanawake huko uliko mpaka kwenye mitandao shenz type unajidharrsha tyu..

Similar Discussions

Back
Top Bottom