The love of my soul

ABINALA

Senior Member
Sep 20, 2013
134
55
Habari za wakati ndugu zangu,

Ninapenda kuomba msichana urefu wa cm 160, mweupe kidogo, mcha Mungu, elimu form six na kuendelea, bikira. Mnyenyekevu, kabila lolote, asiye na hasira mbaya; asiye na makuu. Mimi ni mkristo; elimu degree; mweusi; urefu futi 5, mpole, najua kupenda, tafadhali mdada aliyeteyari kwa sofa hizo anipm au aniandikie abinalakipake. yahoo.com atakuwa mke mwema kwangu.
 
Bikra wewe ya nini??? Au unataka umtoe kafara??? Na maisha yalivyo magumu ngoja yangu nikazane kuendesha baiskeli itoke
 
Hapo kwenye bikra utatafuta mpaka siku unazama kabruni.
.sikukatishi tamaa ila pambana ikiwezekana weka oda mama mjamzito.

La sivyo utakufa bachela.

Ila poa endelea na uperation yako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom