Unahis au unaropokaHuko FB vipi ulijaribu Mana kule hata sura unaziona. Sasa huku kazi itakuwa kubwa zaidi. Halafu hebu jaribu kuchunguza hapo mtaani kwenu au kazini kwako naamini utapata mtu wa kumuoa huko lakini kwa hapa unaweza kujikuta unafanya kazi ya kufunua na kufunika unasepa.
Ni ushauri tu.
Ni ushauri mzuri lakini nadhani ni ushauri wa woga usiozingatia mabadiliko ya maisha na mazingira ya binadamu yanayoendelea hivi sasa. Nitafafanua. Miaka kadhaa nyuma jukumu la mchumba lilibaki kuwa la wazazi au watu wazima wa pande zote mbili. Muolewa na muoaji hawakuwa hata na nafasi ya kujuana kwa maana ya kujitathmini kama sifa zao zinaendana. Muundo huu ulifanyakazi vizuri tena kwa ufanisi ingawa ndoa nyingi zilikuwa ima kwa watu wa jamii moja au wazazi marafiki walioshibana.Huko FB vipi ulijaribu Mana kule hata sura unaziona. Sasa huku kazi itakuwa kubwa zaidi. Halafu hebu jaribu kuchunguza hapo mtaani kwenu au kazini kwako naamini utapata mtu wa kumuoa huko lakini kwa hapa unaweza kujikuta unafanya kazi ya kufunua na kufunika unasepa.
Ni ushauri tu.
mzaramo hyo mi kiuno cha feni sina babu
Umenena shoo apo lazima kiuno kiwe cha feni mbovumzaramo hyo mi kiuno cha feni sina babu
unamjua kumbe?Kule ulikotafuta kwa jina la ahmed vp? Ulikosa ukaona leo utafute kwa jina la muhammed? Waambie kwanza jina lako halisi
ointNi ushauri mzuri lakini nadhani ni ushauri wa woga usiozingatia mabadiliko ya maisha na mazingira ya binadamu yanayoendelea hivi sasa. Nitafafanua. Miaka kadhaa nyuma jukumu la mchumba lilibaki kuwa la wazazi au watu wazima wa pande zote mbili. Muolewa na muoaji hawakuwa hata na nafasi ya kujuana kwa maana ya kujitathmini kama sifa zao zinaendana. Muundo huu ulifanyakazi vizuri tena kwa ufanisi ingawa ndoa nyingi zilikuwa ima kwa watu wa jamii moja au wazazi marafiki walioshibana.
Kupanuka kwa elimu na mazingira ya kuishi mbali na nyumbani yakabadilisha mbinu za kupata wachumba ambapo wengi walikutana shuleni, vyuoni, kwenye vyombo vya usafiri, makazini na kwa kwenye maeneo mengine ya mkusanyiko. Kwa kifupi pale watu wanapokutana sana ndipo probability ya kutoa mwenza ilipo.
Maisha yakabadilika tena physical presence imekuwa finyu sana lakini kumekuwa na teknolojia za mitandao kiasi cha watu kukutana zaidi huko kuliko maeneo mengine yoyote na hasa kama wahusika si watu wa clubbing, beaches au any open events.
Kwa nchi zilizoendelea ndio shida zaidi kwani hakuna interaction kama ilivyo kwetu kwamba utakaa kijiweni utahesabu wanawake upendavyo. Maisha yote yamehamia kwenye mitandao. Na sisi hatuko mbali sana ba huko, na ndicho hiki unachokiona. North Africa, America, Europe na East Asia mitandao ndiyo njia pekee ya wenza kukutana na kujenga mahusiano na kuoana bila kujali nchi walipo.
Kimsingi hakuna tofauti kati ya mchumba wa mitandao na wa mtaani kwasababu walioko kwenye mitandao ndio haohao wa mitaani. Ni suala la "double coincidence" tu kati ya wawili. Ndiyo direction ya dunia hiyo hatuna pa kukwepa.