Pendekezo: Katiba la

Bob_Dash

Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
91
Points
0

Bob_Dash

Member
Joined Nov 1, 2010
91 0
Unajua kutokana na katiba ya uchaguzi ya hivi sasa kuruhusu wapiga kura kuchagua mgombeaji badala ya chama, nadhani inaruhusu kuwepo na hii loop-hole ya wizi wa kura na wanaweza ku justfy wizi wao easy. Sasa mimi pendekezo langu ni hili, kwanini wasirekebishe katiba ikawa watu wana vote kwa chama na siyo mgombea, hii katiba inatumiwa na nchi ya UK, kwa ufupi inakuwa katika karatasi za kupigia kura jina la mgombea Urais linakuwa pamoja na jina la mgomgea Ubunge wa kila chama shiriki, kwa hivyo kama watu wame vote let say, CHADEMA, automatically unakuwa ume vote Rais na Mbunge kutoka CHADEMA in one go, hii ni rahisi kujua percentage ya ushindi kwa kila chama bila kuingizana changa la macho.
 

Forum statistics

Threads 1,389,181
Members 527,870
Posts 34,019,332
Top