Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

On JF:

Wakuu ameni iwe kwenu. Wakuu nimefanya uchunguzi wangu ambao siyo rasmi nimegundua nyumba karibia zote kwa mji ninaoishi hazijawekewa KINGA RAD isipokuwa majengo ya benki tu ndiyo yamewekewa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
MBUNGE NGASSA: "HONGERA RAIS DKT. SAMIA, HONGERA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)" " .... Jana Wizara ya Nishati, Waliwasha Mtambo namba 9 kwenye Bwana la Umeme la Mwalimu Nyerere (JNHPP) kwa ajili ya...
0 Reactions
2 Replies
338 Views
Kwanini hivi huwa hata ujenge ghorofa mjengo wa milioni 200 wa kuishi Chamazi, mmbande, mbagala hadi Vikindu bado tu itaonekana ni kama umechezea hela? Au umejenga sehemu isiyo faa au lazima...
3 Reactions
33 Replies
6K Views
Wadau kwa msaada wa picha, tiles gani niweke Sebuleni, jikoni, dining,chumbani na chooni? Natanguliza shukrani!🙏🏿
0 Reactions
1 Replies
890 Views
MBUNGE SAASHISHA MAFUWE: MILIONI 300 KUJENGA DARAJA MACHAME Daraja la Makoa lililopo Machame, ambalo limejengwa kipindi kirefu na ambalo lilikua ni kero kubwa imeanza kujengwa upya kwa gharama ya...
0 Reactions
2 Replies
630 Views
Salam humu Naomba mwenye ramani ya aina hii anitumie
1 Reactions
3 Replies
1K Views
BASHUNGWA ATOA MIEZI MIWILI KWA MKANDARASI KUKAMILISHA DARAJA LA MTO RUAHA MKUU - KILOMBERO Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa miezi miwili kwa Mkandarasi wa Kampuni ya M/s Reynolds...
1 Reactions
3 Replies
527 Views
Mbunge wa jimbo la Urambo mkoani Tabora, Margaret Sitta ameiomba Serikali kutenga fedha kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za walimu hususani wale wanaoishi maeneo ya vijijini kwa kuwa wanakumbana na...
2 Reactions
10 Replies
568 Views
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuagiza Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara (TANROADS), kuwachukulia hatua Mameneja wa Mikoa wanaoshindwa kusimamia usanifu wa kina na ujenzi wa barabara...
2 Reactions
7 Replies
414 Views
BASHUNGWA AMUONDOA MKANDARASI WA BARABARA KATIKA KIWANDA CHA SUKARI MKULAZI-MOROGORO Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, ameuagiza Wakala wa Barabara (TANROADS) kumuondoa Mkandarasi wa kampuni...
1 Reactions
3 Replies
441 Views
Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile ameelekeza mamlaka wa viwanja vya ndege Tanzania (TAA) kuvunja mkataba na Mkandarasi anayejenga jengo la abiria la kiwanja cha ndege cha Ruvuma kutoka na...
1 Reactions
4 Replies
526 Views
BASHUNGWA: MITAMBO YOTE NA WATAALAM WAWE ‘SITE’ NDANI YA MWEZI MMOJA - MLIMBA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa mwezi mmoja kwa Mkandarasi wa Kampuni ya M/s Henan Highway Engineering...
1 Reactions
4 Replies
641 Views
Habari wakuu, Nina kiwanja changu cha cha 20 kwa 30 ambacho hakijapimwa, kipo level kabisa maeneo ya tegeta-Dar es salaam, sasa nataka nikipime niweke na bikoni, mwenye uelewa kuhusu gharama...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Salaam wakuu. Katika pitapita zangu mitandaoni huku na kule, nilikutana na mjengo fulani wa macontainer. Kwa haraka haraka nikapiga hesabu nikaona ni more affordable kama unakimbia maisha ya...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
TANZANIA NA MISRI KUSHIRIKIANA KATIKA UJENZI NA UKARABATI MIUNDOMBINU YA BARABARA. Tanzania na Misri zimekubaliana kushirikiana katika ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya Barabara na Madaraja...
0 Reactions
0 Replies
595 Views
MAJI YA BOMBA YAENDELEA KUSAMBAZWA MUSOMA VIJIJINI Serikali kwa kupitia RUWASA na MUWASA inaendelea kusambaza maji ya bomba kutoka Ziwa Victoria kwenda vijijini mwetu. MUWASA imepewe jukumu la...
0 Reactions
1 Replies
421 Views
Wandugu kuna jamaa wananikusanyia Mchanga , Sasa kwa wajuzi naomba msaada, fuso moja linajaa ndoo ngp za mchanga? Ili nipate hesabu sahihi. Asante kwa anayejua..!
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari zenu! Kwa mafundi au mtu yeyote mwenye uzoefu, naomba kujua nyumba ya vyumba vinne inachukua tiles kiasi gani? Just makadirio.
2 Reactions
10 Replies
4K Views
Mbunge Twaha Mpembenwe: Force Account Idhibitiwe Katika Kutekeleza Miradi WABUNGE wametilia shaka matumizi ya Force Account katika kutekeleza baadhi ya miradi ya Serikali. Wawakilishi hao wa...
0 Reactions
0 Replies
481 Views
Wakuu Kwema? Kuna haya mashimo ya choo wanayosema hayajai. Inawezekana kweli hayajai au yanajaa kwa kuchelewa lakini naona kama yanakuzwa sana Gharama zake. Yaani nikijaribu kuangalia materials...
12 Reactions
103 Replies
25K Views
Back
Top Bottom