Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

On JF:

BASHUNGWA AAGIZA TIMU YA WATALAAM KUREJESHA MIUNDOMBINU LINDI Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Balozi Eng. Aisha Amour kupeleka timu ya wataalam...
0 Reactions
0 Replies
404 Views
SERIKALI YAWAKINGIA KIFUA WAKANDARASI WAZAWA KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA BENKI YA DUNIA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameiomba Benki ya Dunia kupitia upya masharti ya manunuzi katika...
1 Reactions
4 Replies
518 Views
Ngazi ni "structure" inayonijitegemea unapokuwa Una designing (it's independent structure). Unaweza kuanza kujenga ngazi kabla yakujenga kitu kingine kama NGUZO au kuta.
0 Reactions
5 Replies
970 Views
📍 Igunga, Tabora IGUNGA: TUTAFIKA MWAKA 2025 TUKIWA TUMEMTUA MAMA NDOO KICHWANI Mabomba kwa ajili ya Upanuzi wa Mradi wa Maji ya Ziwa Victoria kutoka Bomba Kuu kwenda Vijiji na Vitongoji vya...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu. Kwanza tutoe pongezi kwa uongozi wa Jamii Forum kutuwekea jukwaa maalum la ujenzi, jukwaa tulolisubiri kwa kitambo. Tunalo tiper la mchanga, hivyo tuna ukaribu wa mchanga. Pia...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa siku nne kwa Mameneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS) nchi nzima kufanya tathmini na ukaguzi wa madaraja, makalvati na barabara kuu zote ambazo...
0 Reactions
1 Replies
438 Views
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameutaka Wakala wa Barabara (TANROADS) Mkoa wa Lindi kuhakikisha wanamsimamia Mkandarasi wa Kampuni ya China Railway 15 Bureau Group anayejenga barabara ya...
0 Reactions
0 Replies
480 Views
Moja kwa moja kwenye mada, hiyo ramani nimejenga msingi umekamilika.nilikuwa na matumaini mambo yangekuwa sawa nijenge boma niezeke lakini mambo yamegoma. Kwa milioni TATU nifanyeje ili nikaishi...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Wakulungwa kumekuwa na matangazo ya nyumba mpya zinazouzwa Chanika, Chamazi na kwingineko kila kona sasa watu wengi sana wamekuwa na hofu wakitaka kufahamu usalama wa hizi nyumba isijekuwa kuna...
2 Reactions
32 Replies
4K Views
Ikiwa serikali imechukua eneo lako na kulipa fidia, kuna hatua kadhaa unazoweza kuchukua kuhakikisha kuwa unapata haki yako stahiki. Hapa kuna miongozo kadhaa: Thibitisha Malipo:Hakikisha kuwa...
0 Reactions
1 Replies
839 Views
We mteja muulize FUNDI wako akupe sababu ya kuchagua Aina aliyoichagua katika kusuka nondo ya nyumba yako . Ili ujue na madhara yake. (Technical reason ni Bora zaidi ye economic reason). Angalia...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
BASHUNGWA ATOA MWEZI MMOJA KWA WAHANDISI WOTE NCHINI KUWA NA LESENI. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewataka Wahandisi na Washauri elekezi wote nchini kuhakikisha wanakuwa na leseni...
0 Reactions
2 Replies
670 Views
Waziri Mhagama: Serikali Kujenga Chuo cha Ufundi VETA, Kata ya Liganga Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Mhe. Jenista Mhagama (Mb) Peramiho amesema Serikali imefanya...
0 Reactions
0 Replies
402 Views
BASHUNGWA AAGIZA MKANDARASI ALIYEDHULUMU MFANYABIASHARA ATAFUTWE NA KUCHUKULIWA HATUA. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) amemuagiza Msajili wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi (CRB)...
0 Reactions
1 Replies
700 Views
Habari wakuu, Ningependa kupata ufafanuzi kuhusu gharama ya peving machine na vibao vyake kwa wenye uzoefu wa hii machine. Asanteni.....
0 Reactions
0 Replies
429 Views
SUpporting props ni nini? Na kazi yake kwenye ujenzi
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu, nimekuja kwenu nikiwa na uhitaji wa kiwanja kwa maeneo ya dar. Sitaki chanika Wala chamanz, pendekezo langu ni kimara, mbezi hadi kibamba, kiluvya nk (target morogoro road) Offa...
0 Reactions
0 Replies
581 Views
Wakuu nimejipanga na bajeti ya milioni 5 hadi 8 kwa ajili ya kununua kiwanja, maeneo ya DSM au Pwani kulingana na upatikanaji utakavyokuwa, bahati nzuri mimi nafanyia kazi nyumbani so hata eneo...
17 Reactions
131 Replies
41K Views
Back
Top Bottom