Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

On JF:

MAKALA YA 5 Karibuni katika Makala yetu ya kila wiki, leo tunaangazia kwenye kukabiliana na Baridi kwenye jengo. Kwa wale wa Njombe, Ruvuma, Mbeya, Kagera, Arusha, Iringa, Singida, Kilimanjaro...
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Heshima kwenu wana jamvi. Kuna jamaa aliniuzia eneo. Baada ya muda kupita bila mimi kwenda kutembelea eneo nahisi atakuwa amebadilisha mipaka ya eneo. Naomba mtu anayejua jumla ya hivyo vipimo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu nipo hatua ya kupaua, katika kuzunguka huko na huko kujua bati bora watu wengi wanasema ALAF, ALAF, ALAF yaani ni ALAF tu, wachache wamesema DRAGON, Dragoni baada ya kuwauliza bei yao ni...
3 Reactions
24 Replies
9K Views
Nataka kununua fensi kwa ajili ya kutenga mipaka ya shamba. Sifahamu chochote kuhusu VIPIMO VYAKE, UBORA NA BEI kwa sasa. Naomba kujuzwa
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Hebu tuzitaje Kampuni kubwa za ujenzi Tanzania ambazo ni za Watanzania, zile ambazo tunaona zina uwezo sawa na za nje. Tuweke list hapa please.
5 Reactions
59 Replies
16K Views
Either male au female ambae anajenga au amemaliza kujenga kwa nyakati hizi, hongera sana. Nimeamka leo asubuhi napiga mahesabu ya costs za ujenzi. Yani kwa hesabu ya haraka nyumba ya vyumba...
34 Reactions
216 Replies
17K Views
Salam, Ndugu zangu naomba ufafanuzi wa kitaalamu nilinunua kiwanja ambacho kimepimwa kabisa na kiukweli kilikuwa kikubwa sio mtaalam sana ila wakati tunahesabu hatua ilikua 60 kwa 40 na kipo...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
KAMATI YA MIUNDOMBINU YASISITIZA WAKANDARASI WAZAWA KUPEWA KIPAUMBELE Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeisisitiza Serikali kutoa kipaumbele kwa Wakandarasi wazawa katika utekelezaji wa...
0 Reactions
0 Replies
342 Views
UJENZI NA UBORESHAJI KIWANJA CHA NDEGE CHA TABORA KUKAMILIKA OKTOBA, 2024 Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameihakikishia Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu kuwa Serikali itahakikisha...
0 Reactions
1 Replies
525 Views
KAMATI YATAKA MAENEO YA VIWANJA VYA NDGE YAWE NA HATIMILIKI Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, imeitaka Serikali kuhakikisha inasimamia upatikanaji wa hatimiliki za maeneo ya Viwanja vya...
0 Reactions
0 Replies
506 Views
Hapa Tanzania watu wengi huchukulia kujenga na kumiliki nyumba ni hatua kubwa ya mafanikio katika miasha. Wafanyakazi wengi hukopa na kuishi na madeni ya viwanja na nyumba maisha yao yote ili tu...
25 Reactions
298 Replies
41K Views
Angalizo; Hii picha ya mtandaoni, kwa hiyo msitumie muda mwingi kuwasimanga waliojenga bali weka majibu ya kitaaluma.
2 Reactions
2 Replies
512 Views
Habari wakuu natumai mko poa kabisa Moja kwa moja Nataka kujua kuhusu viwanda vya kutengeneza machine mbali mbali za ujenzi mfano zile za kuchanganya zege (za umeme) vilivyopo hapa (home land)...
0 Reactions
0 Replies
241 Views
Tunahusika na ujenzi wa: 1. Pavement blocks za maua mbalimbali (kufyatua na kupanga) 2. Kujenga kegbstone(bouder blocks) na kudesgn garden🌺🌱 3. Tunafanya renovation (paving zilizotitia) na...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Baada ya kuupima mziki wa ghorofa na kuona ni kina kirefu sasa nahamia rasmi kwenye mabangaloo aka Freemason. Kuna floor plan ya huyo mwamba hapo. Naombeni maoni yenu na kukosoa kwingi kabla...
13 Reactions
73 Replies
7K Views
Habari ndg zangu. Ninaomba tiba ya fangasi kwenye nyumba ambayo tayari imeathirika na fangasi ya ukutani. -rangi na tofali vinapukutika kutokana na unyevu wa maji. Ahsanteni.
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Ni katika harakati za kujenga nyumba ya ndoto tangu. Iko hivi....nina kipato cha kawaida sana. Nikeshajenga nyumba ambayo ni sehemu ya nyumba kubwa. Nyumba tarajali ina floor moja. Kwa sasa...
1 Reactions
5 Replies
548 Views
Nataka kuweka vyoo, naomba ushauri wapi niweke vya kukaa na wapi niweke vya kuchuchumaa kwenye vyumba vifuatavyo 1. Public toilet 2. Watoto 3. Master Naomba na sababu?
4 Reactions
85 Replies
13K Views
NIMEKWAMA NAUZA ENEO LANGU KIBAHA KWA MFIPA. LIKO SEHEMU NZURI HUDUMA MUHIMU ZIPO. NGUZO MBILI ZA UMEME MPAKA SAITI. MCHANGA UKO HAPO HAPO TOFARI MAPAKA SITE TSH. 750 MAJI YAPO JIRANI TUPO KWENYE...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Je, ni kwanini watanzania wengi lazima tuweke magrill kwenye nyumba zetu mbona marekani ujambazi ni mwingi kuliko kwetu lakini hawawekagi magrill kwenye madirisha? Je, unaweza kuishi kwenye...
16 Reactions
124 Replies
12K Views
Back
Top Bottom