Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

On JF:

Wakati Moderators wakila Bata Ngorongoro na mimi kesho nielekee Kigurunyembe nikale Kanga! Hivi ni nani aliyeleta nadharia ya kwamba zile nyumba za kuficha paa almaarufu kama. "Contemporary...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari ya majukumu wakuu Bila kuwachosha sana niende moja kwa moja kwenye mada, nilinunua kiwanja kwa ajili ya makazi pemebezoni mwa mji kipindi hicho bado palikuwa hapajachanganya sana kama sasa...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
SERIKALI KUSHIRIKISHA SEKTA BINAFSI UJENZI WA BARABARA NCHINI Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Serikali kupitia wizara hiyo imepanga kuanza ujenzi wa barabara kwa ushirikiano wa Sekta...
1 Reactions
2 Replies
652 Views
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa miezi miwili kwa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) kukamilisha taratibu zote za kiutendaji na Marekebisho ya Kisheria ili kuuwezesha Wakala huo...
0 Reactions
0 Replies
622 Views
Kipi kitakupa ubora ulio poa zaidi, isiokuwa na risk sana na yenye kukaa zaidi kwa muda mrefu. Ukitumia wall puty alafu ndio upake rangi. Au utumie white cement na gypsum powder alafu ndio...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza Aina gani au kampuni gani ya puty kwaajili ya ukuta,nimeona makampuni mengi ikiwemo jk wall puty ila yanabanduka haraka na rangi yake. Je, naweza kupata...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
TAASISI YA JAFARI CHEGE FOUNDATION YAENDESHA KAMPENI YA ONDOA PAA LA NYASI RORYA Mbunge wa Jimbo la Rorya ambaye pia ni Muasisi wa Taasisi ya JAFARI CHEGE FOUNDATION (JCF) ameendesha Kampeni...
0 Reactions
0 Replies
774 Views
MBUNGE REGINA NDEGE AITAKA SERIKALI KUFANYA TATHMINI YA KINA ILI KUKABILIANA NA CHANGAMOTO YA MAPOROMOKO NA MAFURIKO KWENYE MIUNDOMBINU "Kuna mpango gani wa dharura wa kuzikarabati barabara za...
0 Reactions
0 Replies
589 Views
Mimi nimeona hii mijengo ni ya kisasa lakini ina teknology kama ya nyumba za dodoma
3 Reactions
2 Replies
801 Views
Wadau naomba kujua bei ya cement ya Nyati kwa jumla kwa Dar. MNatanguliza shukrani.
0 Reactions
7 Replies
4K Views
BASHUNGWA AITAKA TANROADS KUPANDA NA KUHUDUMIA MITI KATIKA MAENEO YA BARABARA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameuagiza Wakala wa Barabara (TANROADS) kuendelea kupanda na kuhudumia miti...
0 Reactions
0 Replies
422 Views
Swalamaa? Hasa kwa wakazi wa Dar, nyakati hizi za mvua kubwa ndio muda sawia wa kuangalia wapi ununue kiwanja. Kuna kiwanja nilionyeshwa mwaka jana hapa Dar ila nkatuliza Ili nisubiri kuona...
1 Reactions
4 Replies
849 Views
SERIKALI KUJENGA BARABARA NA DARAJA LA ZEGE - RUVUMA, KUUNGANISHA TANZANIA NA MSUMBIJI. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Serikali ipo katika hatua za mwisho ya kusiani mkataba na...
0 Reactions
4 Replies
914 Views
Tanzania na Korea Kusini Zakubaliana Kuboresha Mandhari ya Jiji la Dodoma Imeelezwa kuwa ushirikiano uliopo kati ya Tanzania na Korea Kusini umechochea kwa kiasi kikubwa utekelezaji wa miradi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waziri Mhagama Aagiza Huduma za Kijamii Zilizoathiriwa na Mafuriko Morogoro Zirejeshwe Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uraribu Mhe. Jenista Mhagama ameagiza kurejeshwa kwa...
0 Reactions
0 Replies
392 Views
"Kaka yangu Aloyce Kwezi amekuwa akinielekeza tatizo la maji hapa Usinge. Sasa Kwezi asipoongea itakuwaje. Mnatakiwa kumshukuru na kumpongeza sana, Mbunge wenu ni katika wabunge walio makini sana...
0 Reactions
0 Replies
512 Views
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amesema kuwa Serikali inakwenda kuanza ujenzi barabara ya Kibena - Lupembe (km 42) kwa kiwango cha lami ili kuufungua mkoa huo kiuchumi hasa kutokana na...
0 Reactions
2 Replies
924 Views
RAIS SAMIA AMEDHAMIRIA KUJENGA MADARAJA KUSIKOFIKIKA: BASHUNGWA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imejipanga...
0 Reactions
0 Replies
389 Views
Habari! Kuna eneo nmeoneshwa na rafiki angu bei nzuri kdogo. Sina uzoefu na ujenzi (sijawah kujenga). Baada ya kupaona kama sijaridhika napo japo bei ni nzuri . Nahofia kuna uwezekano pakawa...
2 Reactions
39 Replies
4K Views
Wakuu naombeni ushauri wenu nitumie mbinnu gani zirud kuwa mpya?
2 Reactions
10 Replies
4K Views
Back
Top Bottom