Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

On JF:

Habari wadau! Naomba kuuliza ukiwa na TZS 20 Milioni na unataka kujenga nyumba ya Vyumba 3 na Master unaweza kuanza na kufika hatua Gani? Ntashukuru kama mtanipa estimate za kila hatua Asantee
5 Reactions
149 Replies
35K Views
Heri ya mwaka mpya nyote. Kwa TSH 4mil inaweza nifikisha hatua ipi katika kuiendeleza hio nyumba. Inavyumba vitatu na Choo cha public UKubwa ni 15*16 NB: Nimesha nunua Bati, mbao za kupaua na...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari kwenu wajenzi wa JF, naweza simamisha mijengo Yenye hii ramani Kwa fedha kiasi gani?
0 Reactions
3 Replies
676 Views
WAZIRI BASHUNGWA: BARABARA YA RAMADHANI – IYAYI KM 74 (WANGING’OMBE) KUJENGWA KWA KIWANGO CHA LAMI Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amesema kuwa Serikali inakwenda kuijenga kwa kiwango cha...
0 Reactions
1 Replies
729 Views
BARABARA YA MBEYA - MKIWA KUENDELEA KUJENGWA KWA AWAMU. Naibu Waziri wa Ujenzi Eng. Godfrey Kasekenya amesema Serikali inajenga kwa kiwango cha lami barabara ya Mbeya - Chunya - Makongolosi -...
0 Reactions
4 Replies
629 Views
MBUNGE JULIANA MASABURI AIBANA WIZARA YA ARDHI KUHUSU KUTUMIA FEDHA ZA KIGENI KATIKA MALIPO YA UPANGISHAJI NYUMBA Mhe. Juliana Didas Masaburi, Mbunge wa Viti Maalum, ambaye swali lake namba 15...
0 Reactions
1 Replies
490 Views
Waziri Mhagama: Ujenzi wa Nyumba za Waathirika wa Maafa Hanang’ Uzingatie Ubora na Thamani ya Fedha Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera Bunge na Uratibu...
0 Reactions
0 Replies
472 Views
Wadau, Naomba ushauri au mawazo yenu. Nataka kununua kiwanja cha kujenga nyumba ya maisha, sasa kuna hizi sehemu mbili. Kigamboni Gezaulole na Goba. Ipi ni sehemu sahihi?
2 Reactions
27 Replies
6K Views
Salaam wakuu, Naambatisha hapa picha ya ramani ya paa( hiddenroof) naomba wataalamu wetu wanisaidie kunipa makadirio ya idadi ya bao na mabati inayohitajika ya hiii nyumba. Ikiwezekana pia...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Heshima sana wakuu, Tumshukuru Mungu mwingi wa rehema kwa kutupatia uhai mpaka sasa tunapoelekea kuukamilisha mwaka 2021. Najua kwamba wapo wengi walitamani kuanza ujenzi wa nyumba zao na ni...
14 Reactions
444 Replies
64K Views
MBUNGE CONDESTER NA DG RUWASA ENG. KIVEGALO WAFIKA CHILULUMO, IVUNA NA KAMSAMBA KUTATUA CHANGAMOTO YA UKOSEFU WA MAJI VIJIJINI, JIMBONI MOMBA Mbunge wa Jimbo la Momba, Mhe. Condester Sichalwe leo...
1 Reactions
1 Replies
525 Views
BASHUNGWA AIPA MWEZI MMOJA KAMATI YA UWEZESHAJI WA WAZAWA SEKTA YA UJENZI Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa mwezi mmoja kwa Kamati inayoandaa Mkakati wa kuongeza ushiriki wa Wazawa...
1 Reactions
1 Replies
394 Views
Habari mwanafamilia wa jukwaa la ujenzi, Je, umewahi nunua kiwanja ukaanza na ujenzi kabisa alafu baadae ukagundua ulijichanganya kujenga hapo,, Twambie ilikuaje [emoji848] #Nimeitoa sehemu
5 Reactions
41 Replies
3K Views
Habari Wataalamu, Naomba contacts za kiwanda cha kutengeneza paving grids, Hizi ni badala ya pavements na zinafaa Sana sehemu yenye majimaji au udongo unaokaa na maji, Zitasaidia kuondoa...
0 Reactions
2 Replies
543 Views
Wana Jamiiforums wenzangu khabari za jioni, kwa wataalam wenye talanta na taaluma za mambo ya ujenzi Naomba msaada wa RAMANI ya nyumba ya wapangaji. Ahsante.
2 Reactions
13 Replies
4K Views
MOMBA: DG RUWASA AFIKA JIMBO LA MOMBA KUTATUA KERO YA UKOSEFU WA MAJI Mkurugenzi Mkuu wa RUWASA, Eng. Clement Kivegalo amesema Wastani wa upatikanaji wa maji safi na salama nchini ni asilimia...
0 Reactions
1 Replies
547 Views
BARABARA ZINAZOUNGANISHA TANZANIA NA NCHI JIRANI KUENDELEA KUJENGWA NA KUKARABATIWA Serikali kupitia Wakala wa Baraba Nchini (TANROADS), inaendelea na Ujenzi na ukarabati wa Barabara...
0 Reactions
0 Replies
506 Views
TANROADS KUTUMIA TEKNOLOJIA MBADALA UJENZI WA BARABARA NCHINI Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), imefanya majaribio ya awali ya matumizi ya teknolojia mbadala katika ujenzi...
0 Reactions
0 Replies
533 Views
Wenye uzoefu tujuzane. Kutengeneza mwenyewe paving Blocks au Kununua kipi nafuu? Kuna mafundi wameniambia mfuko mmoja wanachaji 6,000/- na unatoa vitafali 100-120. Kupanga napo ni makubaliano...
6 Reactions
51 Replies
16K Views
Ivi Tanzania hatuwezi kuanza kujenga nyumba km izi za Japan kutumia mbao na karatasi kwa sababu mi naona cement inachukua nguvu kubwa na bei sana; mb izi zipo so simple na nzuri pia? Imagina...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom