Kama heading inavyojieleza, nilinunua kiplot kidogo ivi nikajenga kajumba ka vyumba vitatu mbele kuna kanafasi ka parking ya gari ndogo na nyuma kukabaki nafasi ndogo ambayo nikatumia kuchimba...
1. Room 20 za kisasa
2. Vitanda vikubwa vya kisasa
3. A.c.
4. Maji ya moto, kwa hita kubwa
5. Sweeming pool
6. Michezo ya watoto ya kuteleza kama pale Tanga beach resot na kwingine.
7. Reception...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) amewaagiza Mameneja wa Mikoa wa Wakala wa Barabara (TANROADS) kushirikiana na Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) katika usimamizi wa Ujenzi na...
SERIKALI KUONGEZA BILIONI 4 KUKAMILISHA UPANUZI WA NJIA NNE BUKOBA MJINI
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa tayari Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia kuongeza...
Mambo vipi wanajamii forums
Ningependa kuchukua fursa hii kuuliza
Hivi gharama za mafundi wakuinstall steel structure huwaga wanachaji kwa mfumo upi ikiwa unataka kumuuzia kazi ya installation...
Kuna wimbi la nyumba nzuri na za kisasa kwa mwonekano zinaziuzwa kwa bei chee 25m-45m Mbagala Chamazi na Chanika jijiji DSM.
Mchezo upo hivi:
Kuna jamaa wana viwanja vingi na wana mafundi wao...
Serikali imepanga kuziunganisha Wilaya za Misenyi na Bukoba Vijijini kwa kuanza ujenzi wa barabara ya Kyaka - Katoro - Kanazi hadi Kyetema yenye urefu wa kilometa 60.7 kwa kiwango cha lami ili...
Mjengo kama huu ungekuwa upo kwenye jiji ambalo hata maji ni shida [emoji28]ungeambiwa ni bilioni moja kuukamilisha!, lakini ulaya bei yake ni usd 89,900 sawa na 20856
8000tsh!(milioni mia mbili...
Wadau naombeni msaada juu ya ukuta wangu huu umeharibika vibaya na kila siku eneo la kuharibika linaongezeka.
Naomba kufahamu sababu na suluhisho la hali kama hii. Nimeambatanisha picha ya hali...
Kuna class mate wangu baada ya kumaliza secondary aliamua kwenye kusomea mambo ya kuchora ramani na ujenzi kwa ujumla, basi baada ya miaka kadhaa kupita nikamtumia picha ya nyumba na ukubwa...
leo nakupa ushauri kuhusu contemporary house
Contemporary house
Wengi wanadhani kuwa ni nyumba ya gharama nafuu lakini sio kama inavyofikiriwa unafuu wake upo kwenye kupaua tu
Endapo mtu...
Inatamanisha kutumia chuma katika kuezeka au kukamilisha ujenzi wa majengo na utengezaji wa samani kama vitanda, meza, makochi n.k.
Lakini malighafi ya chuma ni gharama sana na inaweza kukupatia...
Aisee ujenzi wa kanda ya ziwa unaweza kujiuliza yule fundi kafikaje juu ya paa.
Nyumba inajengwa vizuri ila upande wa kuweka bati ilibaki kidogo kuwa na usawa wa gorofa moja.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.