Mfuko 1 wa cement unajengea tofali ngapi (block inch 5)?

Mfuko kujenga tofali ngapi inategemeana na mchanga ndoo zimewekwa ngapi.
Kuna sehemu tumekuwa tukijengea simenti yenye ndoo 12 ndogo, mpaka ndoo 20 kwa mfuko.
Zile nyumba za JENGA UZA wanatumia mpaka ndoo 40 kwa mfuko.

ila kwa wastani mfuko unajenga tofali 60 mpaka 70 za kusimama.
 
Mfuko mmoja wa cement sawa na beer 7 castle lite. Au sawa na mkia mzima wa ng'ombe au kilo moja ya kitimoto roast na ndizi mbili, kapilipili kwa mbali, au sawa na nusu kuku kienyeji mchemsho au kuku choma mzima wa kisasa.
Au vocha kwa Zena.
Au Ni sawa na Bei ya gesti short time maeneo ya Buguruni.

The choice is yours.
 
Eee makubwa
Matofali 25 au 30
Hii ni idadi ya tofali za kufyatua kwa mfuko mmoja wa sementi.

Kama ni idadi ya tofali za kujenga basi wewe unatumia ratio ya 1 cement kwa ndoo 9-10 za mchanga

Hesabu ya 60-70 ni kwa ratio ya 1-18 au 1-20

NB: Mimi siyo fundi wala sijawahi kujenga popote hapa duniani
 
Back
Top Bottom