Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

On JF:

MAKALA YA 3 Karibu katika Makala yenye kuelimisha mambo muhimu kuhusiana na ujenzi wa Majengo. Leo,tutaangazia juu ya DAMPNESS/Unyevu katika jengo. Hili ni jambo linalokumba Majengo nchi nzima...
7 Reactions
47 Replies
5K Views
Lengo ni kwamba nahitaji kuanza ujenzi. Ila mpaka sasa nime save 5ml, ila nina uhakika wa kusave laki 6 kila mwezi. Nahitaji kujenga nyumba ya kawaida tu iwe na vyumba vinne je naweza kuanza...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Habari za wakati huu!! Mimi ni muhitimu wa: 1)Ngazi ya DIPLOMA in Civil Engineering mwaka 2018 2)Ngazi ya BACHELOR in Civil Engineering mwaka 2022 ✓chuo cha MUST. ✓ Uzoefu wa miaka 3+ NATAFUTA...
2 Reactions
0 Replies
693 Views
Wadau nijipiga piga nikapata vijisenti kdg nataka kujenga sehem ya kujificha jua kuna hawa jamaa wanaitwahttp: //humannehomes.com/index.html wanajenga Nyumba kwa chupa halaf wanapiga plasta was...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Jamani naomba tutaje maeneo ambayo yanaongoza kwa utapeli wa viwanja... -Tutaje jina la eneo, Kata na Wilaya husika -Ushuhuda Itasaidia kuwa tahadharisha watu,hasa wale wanunuzi wa mara ya...
2 Reactions
35 Replies
5K Views
KITENGO CHA TECU KUIMARISHWA, KUTOA FURSA KWA VIJANA: WAZIRI BASHUNGWA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) itaendelea kukiimarisha...
1 Reactions
1 Replies
472 Views
Mara ya mwisho tuligusia mitindo/styles za muonekano ambazo wale wenye Ukwasi/matajiri,hupenda kuitumia. Sasa tuangazie mitindo ambayo hutumiwa kwa wingi na wenye kipato cha Kati. 1. A.MTINDO WA...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
[emoji854]
2 Reactions
11 Replies
662 Views
hawa ni ANDO g30 ni 18500 Hawa ni ALAF g28 ni 23,311 hawa ni sunshare g28 ni 24,100 . Swali:inakuwa vipi uyo wa kwanza bei yake ni ndogo hivyo tofauti na wenzake tena kwa geji hiyo hiyo .?
3 Reactions
70 Replies
5K Views
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuagiza Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS) Mkoa wa Rukwa kumsimamia Mkandarasi Kampuni ya China Geo-Engineering Corporation anayejenga barabara ya...
0 Reactions
0 Replies
616 Views
BASHUNGWA AWAONDOA WATAALAM WOTE WANAOSIMAMIA UJENZI WA BARABARA YA KIBAONI - MLELE Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameagiza kuondolewa kwa wataalam wote wanaosimamia ujenzi wa Barabara ya...
0 Reactions
0 Replies
423 Views
Wakuu samahani, nauliza kama Sao hill wana ofisi zao kuanzia tegeta hadi Bunju. Nahitaji kununua mbao treated baada ya pasaka na nimeona watu wanawasifia sana kuwa wanaaminika kuliko wengine...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
  • Poll Poll
MAKALA MAALUM karibuni katika Makala nyingine yenye kuelimisha japo kwa uchache Juu ya mambo katika yaliyopo katika ujenzi. Leo tutaangazia katika Mitindo/Styles za muonekano wa majengo. 1.Kama...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari Wakuu! Kampuni ya China inayotengeneza SGR LOT 5 kutoka Isaka to Mwanza CCECC, inakaribia kuacha kuendelea na ujenzi huo wa reli sababu wanadai fedha nyingi serikali wanasema hawajalipwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nilijenga nyumba ya shambani maeneo ya Mkuranga ambayo nikiwa naenda kufanya kilimo nafikia pale. Tatizo limetokea nilipoweka madirisha ya alluminium yalikuja na zile tapes za kuzuia yasichunike...
0 Reactions
26 Replies
7K Views
Wazee habari za wakati huu, naomba kufahamisha kwa wale waliokwisha kuchimba visima vya maji na wale wenye ujuzi wa kutafuta maji yalipo. Je njia hii inauhakika au ndo nijiandae kulia 😃
1 Reactions
0 Replies
661 Views
Habari ndugu zangu Moja kwa moja kwenye mada! Kuna nyumba bi mkubwa amejenga karibuni ila changamoto ni kwamba mkoa aliojenga una joto kali sana! Nilikuwa naomba kuuliza hivi nyumba ikishafanyiwa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Dodoma ni ukanda wa bonde la ufa, baada ya Dodoma kuwa makao makuu, imevutia ujenzi wa majengo marefu. Ni vyema ujenzi wa majengo uwe wa tahadhari, na uzingatie kwamba eneo hilo ni la bonde la...
5 Reactions
23 Replies
4K Views
BRT, FLY OVERS NA BARABARA KUPUNGUZA MSONGAMANO WA MAGARI KATIKA MIJI NA MAJIJI YATEKELEZWA Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amesema, Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu...
0 Reactions
0 Replies
565 Views
Back
Top Bottom