Ukuta kuwa hivi, husababishwa na nini?

Siachi hela

Senior Member
Jun 17, 2022
136
248
Wadau naombeni msaada juu ya ukuta wangu huu umeharibika vibaya na kila siku eneo la kuharibika linaongezeka.
Naomba kufahamu sababu na suluhisho la hali kama hii. Nimeambatanisha picha ya hali ilivyo hapa chini.View attachment 2368413
Screenshot_2022-09-26-09-38-36-02_512d59465dcd1d9c8e9be3e706423fdf.jpg
 
Inawezekana sehemu uliyojenga ardhi ina maji mengi yanayopanda na ukuta. Kuna dawa wanayo watu wa Nabaki Africa ya kuzuia hiyo hali. Ni kama cement hivi ukienda wanaweza kukusaidia.
Shukran sn mkuu, wazo lako ntalifanyia kazi
 
Wadau naombeni msaada juu ya ukuta wangu huu umeharibika vibaya na kila siku eneo la kuharibika linaongezeka.
Naomba kufahamu sababu na suluhisho la hali kama hii. Nimeambatanisha picha ya hali ilivyo hapa chini.View attachment 2368413View attachment 2368414
Kama kuna bomba la maji limewekwa ndani ya ukuta basi litakuwa linavuja. Leta fundi atindue ukuta ili azibe hilo bomba.
 
Back
Top Bottom