Gharama za kutengeneza Ghala la Chuma (Steel Structure) zipoje?

tulio

Member
Jan 24, 2019
6
9
Mambo vipi wanajamii forums

Ningependa kuchukua fursa hii kuuliza

Hivi gharama za mafundi wakuinstall steel structure huwaga wanachaji kwa mfumo upi ikiwa unataka kumuuzia kazi ya installation ya steel structure full mpaka mabati ya juu na pembeni huk mnatumia puff panels kuzunguka godauni lote

Natanguliza shukran zangu
 
Mkuu ulifanikiwa kupata msada? Maana mwenyewe nipo mbioni kutaka kujenga warehouse , kama ulifanikiwa nijulishe Bei za material ?
 
Mambo vipi wanajamii forums

Ningependa kuchukua fursa hii kuuliza

Hivi gharama za mafundi wakuinstall steel structure huwaga wanachaji kwa mfumo upi ikiwa unataka kumuuzia kazi ya installation ya steel structure full mpaka mabati ya juu na pembeni huk mnatumia puff panels kuzunguka godauni lote

Natanguliza shukran zangu
Mkuu, ungeweka mchoro wake na muonekano halisi ungeweza kukadiriwa.
Unatupa kazi ya kuwaza tutaweza?
 
Length 24meter, Width 12, height 6.5.
Sasa kila kitu mnataka bure hii ni kazi kubwa mnataka wataalamu tuishi vipi?
Mnataka wataalam wote tucheze kamali tusaidiane tusitake bure maana wengi tunalipa kodi kwa kazi hizi kuweni wazalendo changia uchumi wa nchi kwa kufanya kazi na wataalamu na taasisi zinazolipa kodi.
Kama bado haujapata nitafte pm
 
Mara nyingi kazi za steel structure mhandisi huwa anauziwa kwa square meter au kwa Ton
so itategemean na aina ya jengo
mfano: mnaweza kukubaliana 1square meter thamani yake iwe ni 20,0000
ama 1ton iuzwe kwa 2M
na mahesabu hayo ni nnje ya designer wa mchoro wa jengo husika

Nipigie 0692235221 kwa maelekezo na maongezi zaidi
 
Back
Top Bottom