Wiki iliyopita nili tafuta fundi mtaani aniwekee double socket Kwa room ambayo nilikuwa naitaji nyongeza ya socket ya kuweka tv ukutani, Sasa fundi akaja usiku sa mbili kupanda darini ,ilibidi...
UWANJA WA NDEGE WA KIA SASA KUSIMAMIWA NA TAA BAADA YA KADCO KUMALIZA MUDA WAKE
Mhe. Condester Michael Sichalwe, Mbunge wa Jimbo la Momba leo tarehe 11 Novemba, 2023 ameshuhudia Makabidhiano kati...
Wataalam,
Asiwadanganyeni mbwa yeyote kukaa kwa baba mkwe jau sana...Hii nyumba nayoishi masaki ni ya baba mkwe, Sasa juzi kati luku iliisha nikampigia kumuomba anunulie nyumba yake umeme,looh...
BARABARA YA MAFINGA - MGOLOLO (KM 81) MKABATA KUSAINIWA KESHO DODOMA
Mikataba ya ujenzi wa barabara saba (07) ambazo zimekuwa zikiongelewa kwa muda mrefu katika majukwaa mbalimbali ikiwemo ndani...
MAKALA YA 6
Karibuni tena katika Makala ya ujenzi. Leo tujifunze machache juu ya Udongo wa Mfinyanzi na Uhusiano wake katika Ujenzi
1.Mfinyanzi ni moja kati aina kuu tatu za udongo.
-sifa aa...
Habari wana JF
Karibuni kwenye Ardhi special thread huku tutapeana taarifa mbali mbali kuhusiana na Umiliki wa viwanja na Mashamba
Pia tutapeana njia mbali mbali za kufanikisha maswala ya...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuagiza Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), Lazaro Kilahala kuhakikishia anasimamia masuala ya usalama katika vivuko vyote nchini ili...
Habari,
Kama nina nyumba ya kawaida tu siyo ghorofa na sitaki kuibomoa ila mahali hapo hapo nataka juu ya nyumba hii nijenge nyumba nyingine ambayo haitategemezwa na nyumba hii ya zamani kiasi...
MAKALA YA 1
Karibu katika Makala uhusio Ujenzi Majengo madogo mfano; Nyumba,maduka,Zahanati,Darsa n.k
Leo tuangazie ujenzi wa msingi(foundation) wa jengo.
Yafuatayo ni mambo 10 muhimu kuhusu...
MAKALA YA 4
Karibuni katika Makala yetu ya Ujenzi,Ambapo dhana na lugha ngumu ya Kitaalam inageuzwa kuwa nyepesi na kueleweka.
Leo japo kwa ufupi tutajadili kuhusu suala la "Chumvi kwenye Jengo"...
MAKALA YA 2
Karibuni tena katika Makala yenye kutoa elimu juu ya mambo muhimu kwenye ujenzi wa Majengo (madogo) I.e. Nyumba, Maduka, Darasa, Zahanati n.k
Leo tunatazamia katika Halijoto ndani ya...
Husika na mada tajwa hapo. Mm nipo bunju Kilomita 3 kutoka barabara ya bagamoyo . Nyumba tiyar imeisha pigwa blandaring kinachofanyika ni kudisgn ua la sebure pamoja na dinning. Asiwe na bei za...
Habari zenu jukwaa.
kuna kiwanja nilishawahi kukipata na kukipigia fensi, nataka niaze ujenzi mwezi wa sita.
Dhumuni kuu la kuwaleta mafundi wamalawi ni ile sifa yao wanayojulikana kuwa nayo...
BASHUNGWA AWASILI WILAYANI MAFIA KWA ZIARA YA KIKAZI.
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) amewasili wilayani Mafia mkoani Pwani kufanya ziara ya kikazi ambapo amepokelewa na Mkuu wa Wilaya...
UJENZI WA KIWANJA CHA NDEGE CHA MSALATO SEHEMU YA KWANZA KUKAMILIKA DISEMBA, 2024
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato - Dodoma...
Kichwa cha habari kinajieleza, namtaka mtaalamu ambae atanitengenezea UA zuri la kisasa sebleni kwangu kwa malipo tajwa hapo juu, Angalizo nahitaji expert haswa sio mtu wa kujifunza.Eneo Kibaha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.