Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,605
- 2,748
Karubuni.

Kama umeipenda wewe jenga tu
Nyumba mbona kama ofisi au madarasa?
Madhali si unapanda miti tu, madhali na style ya nyumba vitu viwili tofautiNilichopenda mimi ni mandhali ya miti na hewa safi
Style ya zamani hiyo
Ukiikosea tu fundi Maiko mwembe.Nlidhani ni zile zinazovuja kama muembe.
Kweli....Style ya zamani hiyo
Hiyo Design siyo mpya, ilipotea kipindi fulani. Ilitamba sana miaka ya 80/90 kwa jina la "Container au Self contain"
Nimetokea kuipenda sanHili Design siyo mpya, ilipotea kipindi fulani. Ilitamba sana miaka ya 80/90 kwa jina la "Container au Self contain"
Mijengo mingi ya aina hiyo inapatikana Canada na Marekani.
NakaziaKama umeipenda wewe jenga tu
Hiyo Ramani Kama Kanisa La Ufufuo Na UzimaDesign iendane na mazingira ya site
Hii style imeanza kurudi imeboreshwa kutoka style ya zamani.Style ya zamani hiyo