Nina milioni 100 naweza jenga motel yenye room 20, swimming pool , na vifaa vyake vyote?

mbere

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
6,969
6,460
1. Room 20 za kisasa
2. Vitanda vikubwa vya kisasa
3. A.c.
4. Maji ya moto, kwa hita kubwa
5. Sweeming pool
6. Michezo ya watoto ya kuteleza kama pale Tanga beach resot na kwingine.
7. Reception safiii
8. Counter ya kisasa nje.
Yaani mimi ni kuanza kutumia tu.
Eneo ni langu Nina 100ml
 
9b72a2ec2e54efb1276a8791b18add0c.jpg

Wakuu mbona hii inauzwa kwa 5bl? Ni Mara ngapi ya uitaji wangu? Na mimi sitaki gorofa
 
mbere

Cha kwanza kufanya Tafuta ramani yako au mwelezee mtu akucholee ramani ya iyo motel unayotaka

Pili mtafute engineer mpige hesabu ya matofali yanayotakiwa ....Jumla ya kujenga iyo motel unayotaka.. na ghalama ya mafundi na vibali vya ujenzi

Tatu.. Utakuwa umepata Jibu kama inatosha au..........................

Nne... Ata simple lodge unaweza jenga na Pesa itakayobaki ukafanyia mambo mengine

Tano: sio lazima iwe dar kuna sehemu kama iramba-singida.... wekeza sehemu ambayo unaweza ukatumia cost ndogo lakini unapiga hesabu iyo sehemu inaweza kuja kuwa kubwa kimaendeleo
 
Back
Top Bottom