Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Anaandika tajiri Mohammed Dewji kupitia ukurasa wake wa (X). Nchi nyingi — kuanzia Australia hadi Denmark — sasa zinaweka mipaka ya matumizi ya mitandao ya kijamii kwa watoto walio chini ya miaka...
0 Reactions
5 Replies
331 Views
Yaliyotokea hii miaka ya karibuni, na hitimisho la October 29, ni uharibifu mkubwa wa Taifa, na uharibifu huu mkubwa umefanywa na watawala kwa kushirikisha vyombo vya ulinzi na usalama. Miaka ya...
0 Reactions
1 Replies
167 Views
*Habari wana great thinker; Mimi kwa mtazamo wangu Watanzania kinachotusumbua ni wivu wa kijinga dhidi ya viongozi na familia zao.Mathalani;watu wanamchukia samia na kumtaka atoke kwa sababu...
3 Reactions
108 Replies
2K Views
Kilichosababisha hadi nikawachenjieni na leo mnashangaa imekuwaje 'Mkosoaji Mwerevu' leo naunga Mkono ni kitendo chenu cha kuwasilikiza Wajinga na Wapumbavu wawili wasiojua Strategies za kuandaa...
9 Reactions
37 Replies
914 Views
2 Reactions
6 Replies
223 Views
1. Watumishi wadai Hela ya Likizo Zao tangu 2024. Ujio wa Mhe Waziri Mkuu,watumishi waliambiwa wapeleke Vendor form na Bank statement tayali kwa kulipwa Kama hawakulipwa kihalali na Serikali...
0 Reactions
0 Replies
183 Views
https://x.com/moodewji/status/1998734094558179556?s=20
2 Reactions
5 Replies
197 Views
Naomba kueleweshwa
6 Reactions
17 Replies
604 Views
Tuseme serikali inataka kununua v8 500, malipo yote yatafanyika kwa dola na sio tsh, na ili kuipata hio dola ni lazima uuze nje hakuna sehem ingine duniani unaweza kubadilisha tsh na dola zaidi...
0 Reactions
369 Replies
7K Views
Ni ukweli usiopingika ya kuwa madhumuni ya Chama chochote cha siasa ni kuchukua dola. Chadema imekuwepo takribani miaka 30 iliyopita pamajo na uwepo wa vyama vingine vikubwa kama vile ACT...
0 Reactions
13 Replies
324 Views
Nawashangaa sana mnavyodai eti Watanganyika wamekataa maandamano na wanawaunga mkono nyie wauaji na mashetani. Watanganyika kwa umoja wetu tulishatuma ujumbe Oktoba 29. Ujumbe wetu ulikuwa...
11 Reactions
5 Replies
326 Views
Wanaotaka Tanzania ya kabla ya Oct 29, 2025 poleni hairudi!. Sio baada ya watu kutekwa hivi, kufungwa bila sababu, vijana kusimama kwa haki na mauaji makubwa kiasi hiki. Sio wa ufisadi wa...
5 Reactions
1 Replies
160 Views
Jacob John Mkunda is a Tanzanian military officer who currently serves as Chief of the Tanzanian People's Defence Force since 30 June 2022. Early life Mkunda attended the Ruvu Secondary School...
4 Reactions
90 Replies
2K Views
Majiji yote yalisimama. Hakukuwa na biashara yoyote ya maana, kuanzia maduka, usafiri na kumbi za starehe. Loss kubwa kwa MO29 ilitokana na kuzima internet, lakini D9 kila kitu kilikuwa paralyzed...
2 Reactions
12 Replies
489 Views
Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Chipando Maarufu Baba Levo amewasishi vijana na watanzania wa ujumla kuepuka kushiriki vurugu zozote zitakazoharibu amani ya taifa akieleza tayari Rais Samia tayari...
0 Reactions
9 Replies
366 Views
Kuyawekea Mgomo maandamano haramu yaliyotangazwa na wakazi wa nje ya TZ 9/12/2025. Hongereni vijana, mnastahili kikombe cha ushindi. Ushindi si wa TZ tu bali Afrika nzima. sasa hakuna tena wa...
0 Reactions
19 Replies
706 Views
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam Ijumaa hii ya Desemba 12.2025 majira ya saa 08 mchana inatarajiwa kusikiliza kesi Na. 30210/2025 iliyofunguliwa na Mwanaharakati Rosemary...
0 Reactions
5 Replies
385 Views
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Ndg. Gerson Msigwa amewapongeza Watanzania kwa kutimiza miaka 64 ya Uhuru na kuwashukuru kwa kukubali wito...
0 Reactions
8 Replies
256 Views
Katika dunia ya sasa yenye msukosuko wa mawazo na taarifa zinazokuja kwa kasi, tunahitaji kukumbuka mambo ya msingi. Watu wanahitaji amani kuliko fujo, kwa sababu amani inatupa nafasi ya kuishi...
1 Reactions
7 Replies
154 Views
Back
Top Bottom