Siku ya kaziNaomba kueleweshwa
Hiyo ya lockdown ya kesho unaitoa wapi?Naomba kueleweshwa
Ndio muda mzuri wa kubeba mabango.Hiyo ya lockdown ya kesho unaitoa wapi?
Acha uwoga nenda kachape kazi. Hao wahalifu wa Gen Z wajipange upya. Vyombo bado vipo macho
😁😁😁Siku ya kazi
Usiwadanganye, na siku ya kuimarisha penziSiku ya kazi
Ukitoka tunakudakaNaomba kueleweshwa
Khali ikoje huko??🤨
Mjini huingii bila sababu...Khali ikoje huko??🤨
Unaonekana mchapa kazi, unapenda kufanya kazi sana!?Naomba kueleweshwa
Hamieni huku tuko tuliiifuuuu!😁Mjini huingii bila sababu...