Wakuu,
Kutofanyika kwa maandamano na kuwepo kwa hali ya utulivi na amani nchini Tanzania siku ya tarehe 9 Disemba 2025 ni nani anapaswa kupongezwa, Serikali au wananchi ?
Ili maandamano yawe maandamano yanahitaji watu wengi sana wayaunge mkono. Nguvu ya maandamano inategemea na idadi ya wananchi wanaojitokeza kuyaunga mkono.
Maandamano ya chadema ya Oktoba 29...
Natumia hamjambo,
Wakati serikali ya Samia ikiendelea kupigwa kila kona huku kukiwa na dalili za kusitishwa kwa misaada kwa nchi yetu ya Tanganyika.
Na kwa sasa tutambue kuwa hakuna mbadala wa...
Wakuu huu ni ukweli mchungu kiongoz kama rais sio mchezo kumtoa mzee tusijidanganye na tusifarijiane hilo jambo haliwezekan na halitowezekana kwa stail ya maandamano ya aman zaid ni kupoteza muda...
Habari zenu wazalendo na wale wasiokuwa wazalendo!!?
Naamini mpo salama kabisa.
Sasa ipo hivi, vijana tunapenda sana mabadiliko.
Lakini pamoja na kuhitaji mabadiliko, hatuhitaji kuvuruga nchi...
Wananchi wengi wanakasirika sana kuambiwa kukaa ndan kwa sababu wanakosa kufanya biashara zao, ukwel ni kwamba itakapotokea mtu anataka kuandamana tena basi wananchi watadeal nae moja kwa moja kwa...
Kwa muda sasa, tumekuwa tukiona kwenye mitandao picha na ujumbe wa aina mbalimbali wa kuhamasisha maandamano na leo mpaka karibu kabisa na kituo kimoja cha Polisi kuna matangazo hayo ya...
Salaam!
Ni kama kuna dini na Imani mpya imeingia nchi ni,
Kikundi na itikadi hii ya Siri imeingia kwa viongozi mbalimbali wa dini, wasanii, wanasiasa, polisi,waovu Katika makundi mbalimbali...
Katika miaka ya karibuni, Tanzania imeingia kwenye zama mpya ambako mitandao imekuwa uwanja mkuu wa siasa. Na kadri wananchi wanavyozidi kuuliza maswali kuhusu uhuru, gharama za maisha, ajira...
Jana katika harakati zingine za kuharibu taswira ya Tanzania tulishindwa kwa sababu tulikua disorganised sana. Nakupenda na kusababisha aibu tuliyoipata naweza kukiri kuwa tulikurupuka sana kwa...
HIi serikali ya CCM ni waigizaji wazuri sana, mfano wanajiridhisha kwa kusema maandamano ya jana hakufanyika sababu Vijana hawataki kuandamana huku walijaza Askari kila sehemu.
Jibu lake watu...
Umeshinda kwa asilimia 98% alafu unafungia raia ndani una mgogoro mkubwa na wananchi huu ushindi labda wa kuchora ukutani sio wa raia.
Anamgogoro mkubwa na wananchi kwasababu hakuchaguliwa na...
Kwa vita ipi na mapambano yapi kutumia nguvu yote hii kulipia maroboti yaje kujaza comment session, kama mtu ni mzuri na ni mwema haihitaji hata kutumia nguvu kubwa kuelezea uzuri wake. PLO...
Binafsi mwezi uliopita nilifikisha miaka 42 ya kuzaliwa. Kiukweli sijioni kama kijana maana kila uchwao nasiki mara miguu kuuma mara mgongo mara masikio, kwakweli it's true life begin at 40's...
Tungependa tena kuendelea kutoa taarifa ya mwendelezo wa hali ya usalama hapa nchini kuanzia saa 12 asubuhi ya leo ya tarehe 10.12.2025 hadi mchana huu.
Hali ya usalama ni shwari na shughuli za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.