Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Salaam! Ni kweli mlikuwa kifungoni bila hatia, bila uhuru, sasa MWOKOZI ameshakuja, kabomoa gereza, kafungua milango, kawafungua pingu, sasa imebaki kazi kwenu kutoka gerezani, Ni kweli Giza...
49 Reactions
123 Replies
8K Views
Leo X nimekutana na hii list ya most powerful people on earth nimekuta Samia yupo nafasi ya nne. Mnaionaje hii list? Japo aliyepost kaweka na profile picture ya Samia, inaonekana ni mwanaCCM...
3 Reactions
55 Replies
1K Views
Kiongozi leo muda wa saa 11 Usiku polisi wamevamia nyumbani kwangu Baada ya kunikosa wamepiga watoto na kukamata Familia yangu yote, Waliokamatwa kelin Benedicitor Jafety mwanafunzi wa kidato...
8 Reactions
45 Replies
1K Views
https://youtu.be/Yk-hyrvfmQU?si=28N_-0K9fxg1a6F9
0 Reactions
0 Replies
100 Views
Mauaji ya Mwaka huu October 2025 yamefikia zaidi ya 6,900 yamethibitika kwa Samia kupewa idadi hii na mtu ambaye amekuwa anawasiliana naye moia kwa moja tarehe 29 kwamba wauwawe ni shoot to kill...
94 Reactions
217 Replies
11K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amezungumza na Global TV na kuelezea hali ya ulinzi na usalama ilivyo jijini Dar es Salaam, amesema "Hatukusema Wananchi wakae ndani"
5 Reactions
65 Replies
2K Views
Poleni na uchovu wa lockdown japo ya siku moja lakini sio utamaduni wetu so inatukera. Mo 29 ilifanikiwa kwa ukubwa kwa sababu kuu kadhaa Moja ilikuwa siku ya tukio la kitaifa lisilotaka watu...
9 Reactions
50 Replies
1K Views
Mleteni Rais wetu mbele ya camera hata Kama tunamchukia, hatoshi, mwizi wa chaguzi, ametuulia ndugu zetu lakini ki protocol bado anakuwa Rais wetu hata Kama Ni haramu Je Yuko wapi? Anafanya...
24 Reactions
60 Replies
2K Views
Hio itakuwa Siku ya Christmas, wakiristo watahitaji kutoka kusherehekea. Hakuna namna ya kuzuia mikusanyiko siku hio, na kama wakizuia na ndio lengo letu., Sio tu machawa yataguswa hata...
1 Reactions
1 Replies
208 Views
Wakuu Nilikuwa naangalia interview ya Kabudi pale Aljazeera ambayo alikuwa na Dorothy Semu Yaaani kabla hata interview ya haijaanza, huyu mtangazaji wa Al Jazeera anatoa disclaimer kwamba...
3 Reactions
11 Replies
631 Views
Ila huyu baba! =========== "Dunia imeona naWwatanzania wameithibitishia dunia ya kwamba wakiamua kulinda amani wanailinda, wasiotutakia mema jana wameaibika. Watanzania wanapenda amani na...
0 Reactions
14 Replies
397 Views
Leo, watanzania na wapenda haki wameungana kwa pamoja katika Bunge la Ulaya, kupinga ukatili uliotokea Tanzania na kusisitiza rais Samia atoke madarakani na Bunge la Ulaya lisitishe misaada na...
5 Reactions
13 Replies
510 Views
Gen Z hawapoi hawaboi, wanasema hii kesi haijaisha, wapo kwenye plan ya kuja na maandamano mapya siku ya uhuru 09/12. Wanasema maandamano hayo yatapewa jina la Liberation Day. Aione IGP Jumanne...
105 Reactions
2K Replies
80K Views
Serikali haramu imesha anguka na kushindwa kuifanya nchi ya kipumbavu wanang'ang'ania madaraka wanajua washaharibu nchi wakitoka wataburuzwa. Wakitoka wote wahusika wakuu ikiwemo wakuu wa majeshi...
1 Reactions
1 Replies
196 Views
Sina mengi ya kusema, Nakumbushia mwangalie siku Hawa watawala wetu wanakabidhiwa vyeti vya ushindi, Dr nchimbi kile cheti alikitupilia mbali na Ikabidi na Dr Samia aige. Je WAJUA Nini kilijili...
1 Reactions
16 Replies
641 Views
Majirani wanatamani kuiona Tanzania ikiwa kwenye machafuko kama somalia au congo, na hii itatokana na viongozi wajinga. Kiongozi mjinga anauwa watu na kuteka watu, hii itapelekea vita vya sisi...
0 Reactions
12 Replies
265 Views
Tanzania lmekuwa zaidi ya somalia na al shabab hebu fikiria watu wanateka hadi maiti hospital sijawai kuona ugaidi kama huu hapo kwanza. Mimi sijawai kuona kikundi cha kigaidi kikiteka maiti...
1 Reactions
3 Replies
276 Views
Ukikipata kitu kwa haki basi nafsi yako hufurahi na kukupa maisha marefu na Ukikipata kitu kwa dhuruma nafsi yako hukusuta mpaka mauti Muangalie Magufuli alivyokuwa anacheka na watu kutoka moyoni...
1 Reactions
2 Replies
197 Views
Kitendo cha serikali haramu kuweka watu lockdown D9 wasijielezee kumechafua zaidi taswira ya nchi, huwezi kupewa misaada kila kitu anchofanya ni zero brain kabisa anazima moto kwa patrol lazima...
0 Reactions
4 Replies
188 Views
Kuna maneno aliyachapisha January Makamba kuelekea uchaguzi wa kumpata mgombea Urais wa chama chake CCM kwa mwaka 2015 yamenitafakarisha Sana. Hivi haya maneno ya Makamba yalikuwa yamelilenga...
4 Reactions
20 Replies
798 Views
Back
Top Bottom