Geoffrey Idelphonce Mwambe mchumi mbobezi

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
227
500
Unapozungumzia Vijana wasomi na Muhimu katika kukuza na kubadirisha mitazamo ya baadhi ya wachumi ambao ni wachumia tumbo basi huto sita kumtaja Mh. Mwambe ambaye ni miongoni mwa viongozi wa chache wenye kukemea uovu unaoleta udumavu wa uchumi wetu na maendeleo yetu Kama Taifa.

Tumeona Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan katika kugundua hilo amemuona kijana na msomi katika maswala ya uchumi na uwekezaji amemuamini na kumtaka asaidie kukuza na kustawisha maswala ya uwekezaji nchini.

Tumeona mchango wake wakati akiwa Mkurugenzi wa TIC ameweza kuipa ushauri TRA kutojenga uadui na Wafanyabiashara na wawekezaji nchini ili kutoa fursa kwa Serikali kuongeza ukusanyaji wa mapato na kuleta Maendeleo nchini.

Wanaopinga kelele juu yake hivi karibuni ni Wachumi wachumia Tumbo

20210415_052940.jpg
 

mwekundu

JF-Expert Member
Mar 4, 2013
21,861
2,000
Hivi maana ya uchimi mbobevu ndio nini?hadi Mwigulu propagandarist anajiita mchumi grade A wakati ni muongo tu
 

idawa

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
24,368
2,000
Nilishangaa juzi Bunge linavyomdharau eti ana kiburi, watamshitaki kwa Waziri Mkuu..
 

Volatility

JF-Expert Member
Aug 22, 2018
3,164
2,000
Mama Rais aliishasema huyu amesheriki katika kusababisha ukiritimba serikalini. sasa unamuita mbobezi wa uchumi. unajua uchumi wewe.
 

Ukana Shilungo

JF-Expert Member
Apr 17, 2012
2,942
2,000
Kijana naona unamfagilia Kijana wa Ndanda Kijiji cha Mwena.

Nahisi utakuwa umetumwa wewe, kuja kupima UPEPO.
Kifupi.

In social life jamaa anafeli.

Mbunge mwenzake kutoka Masasi Kafiwa kashindwa hata kuja kuzika, mpaka leo tunapoongea Hajaja kuhani ni aibu sana.

1.Mstaafu Ghasia alikuwepo.

2.Mtwara vijijini alikuwepo Chikota,

3.Wa Lulindi alikuwepo

4.Tandahimba alikuwepo

na watu wengi viongozi wa serikali na chama, Ni GOEOFRAY MWAMBE PEKEE.

Hiking ni kipimo kikubwa sana kwa msomi wa VITABUNI unayemsifia.

Alishawahi Mtunishia kifua Mwenye KIGODA wa Chama Masasi Mjini Wilaya.

Pia akajifanya mtunishia KIFUA RC kwenye kikao, kisa yeye Waziri.

in short the man has the so called EDUCATION ARROGANCE .

Mtoa uzi kama umetumwa kuja kumjenga imekula kwako.
 

Ligogoma

JF-Expert Member
Aug 27, 2010
3,406
2,000
Kijana naona unamfagilia Kijana wa Ndanda Kijiji cha Mwena.

Nahisi utakuwa umetumwa wewe, kuja kupima UPEPO...
Nalifahamu hili jamaa, jinga sana!! Alipopata uwaziri nilijua tuu, kitachimbika sana!!

Kifupi kapata shule huyu, elimu aliiacha hukohuko madarasani!!
 

Juma1967

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
16,819
2,000
Unapozungumzia Vijana wasomi na Muhimu katika kukuza na kubadirisha mitazamo ya baadhi ya wachumi ambao ni wachumia tumbo basi huto sita kumtaja Mh. Mwambe ambaye ni miongoni mwa viongozi wa chache wenye kukemea uovu unaoleta udumavu wa uchumi wetu na maendeleo yetu Kama Taifa...
PhD kasoma wapi?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom