Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Kuna uwezekano mkubwa kwamba serikali inatudanganya kuhusu makusanyo ya kodi ya shilingi trilioni 1.4 kwa mwezi Januari 2016 pekee na kujinasibu kwamba imevuka kusanyo lolote la kodi lililowahi...
12 Reactions
126 Replies
15K Views
MH jenga mifumo mipya ya nchi kwa kuanzisha mchakato mpya wa katiba mpya. mikwara bila mifumo imara inayojiendesha yenyewe ikiwa ipo huru, hapo utakumbukwa. cjui bila mifumo utastukiza...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
UTOROSHAJI WANYAMA HAI Ikulu ya Kikwete yahusika Waandishi Wetu Toleo la 443 3 Feb 2016 Walipewa blank cheque kujaza ‘mapesa’ wanayotaka SAKATA la kutoroshwa na kusafirishwa kwa wanyama hai...
4 Reactions
61 Replies
8K Views
  • Redirect
chama cha demokrasia na maendelo (chadema), juzi kimeonyesha jinsi kilivyokomaa kidemokrasia, pasi na mashaka, baada ya mbunge mh. wilfread rwakatare mbunge pendwa na mwakilishi wa jimbo la bukoba...
0 Reactions
Replies
Views
Introduction Below is a cut and paste from Wikipedia. Please compare and contrast between Ton Ton Macoute of Haiti and Zombies of Zanzibar. You will surely come across very interesting...
0 Reactions
1 Replies
953 Views
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TAASISI YA KUZUIA NA KUPAMBANA NA RUSHWA Mkuu wa TAKUKURU (M) Ilala, S.L.P 6420, Kinondoni Simu : (022)2861088 Nukushi 2150047 Barua pepe: rbcilala@pccb.go.tz...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Waziri wetu wa Elimu Bi.Ndalichako na wa Fedha Mh.Mpango, hii ndiyo future ya TanZania Mpya, hakuna blah blah ni kazi tu! HAPA KAZI TU!
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Balozi wa Tanzania nchini India ndugu Kijazi amesema ameridhika na hali ya usalama iliyopo mjini Bangalore,na kuwa kitendo cha msichana wa Kitanzania kupata kisa cha kuvuliwa nguo ni kitendo cha...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kama kila mtanzania ataacha kumtegea raisi na kuamini tu kuwa Magufuli hawezi kuwepo kila sehemu, hawezi kufanya kazi zote peke yake, then hapo tunaweza kupata mafanikio! Kwa sasa kuna watu bado...
0 Reactions
0 Replies
781 Views
Kwanza kabisa nieleze masikitiko yangu kutokana na hotuba ya jana aliyotoa rais Magufuli akizindua mwaka mpya wa mahakama! Rais alidiriki kuwaeleza majaji na mahakimu (siyo mawakili) ambao ndiyo...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Na Avila Kakingo, JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam lasitisha shughuli za ulinzi shirikishi kwa muda usiojulikana katika vituo vya Polisi vya mjini kati kutokana na malalamiko na...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Ndugu zanguni goja nitolee mfano wa hukumu ya Mh Daniel Yona na mwenzake, eti wamehukumiwa kutumikia kifungo cha nje na kufanya kazi za kijamii mtaani pamoja na tuhuma zote zile nilizokuwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Baraza la wafanyabiashara wanaomiliki meli Africa Mashariki (SCEA), limeitangaza Bandari ya Dar es salaam kama bandari bora zaidi Afrika Mashariki katika mwaka 2015. Kwa mujibu wa utafiti wa...
1 Reactions
20 Replies
6K Views
Mwakyembe, Lukuvi, Muhongo wahusishwa na kashfa za ufisadi. Chanzo: NIPASHE
3 Reactions
77 Replies
14K Views
Leo ndo CCM wanaona dhambi mabalozi kushiriki siasa? Mbona kule Shinyanga balozi wa China alivaa gwanda na kuhutubia mkutano wa CCM chini ya Katibu mkuu Kinana? Wapinzani walipopiga kelele...
10 Reactions
46 Replies
6K Views
Huyu jamaa anaitwa MASAMAKI anakaa PUGU KAJIUNGENI, ni mfanyakazi TRA na mke wake ni mfanyakazi wa benki ambayo sikufanikiwa kufahamu jina lake. Huyu jamaa ni maarufu sana katika eneo lile na...
7 Reactions
188 Replies
42K Views
Stanslaus Mabula,mstahiki meya wa jiji letu pendwa la Mwanza kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM) yupo mbele ya pilato akitakiwa kuiambia mahakama kuu kanda ya Mwanza ilikuaje ashirikiane na...
5 Reactions
139 Replies
18K Views
  • Redirect
Korti ya Kisutu leo yaamuru mawaziri wastaafu Basil Mramba, Daniel Yona kutumikia kifungo cha nje kwa kufanya usafi Hospitali ya Sinza, Dar hadi Nov 5.
0 Reactions
Replies
Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…