Magufuli hana uwezo kuliko Mimi...

2kimo

JF-Expert Member
Jan 23, 2014
2,029
2,072
Kama kila mtanzania ataacha kumtegea raisi na kuamini tu kuwa Magufuli hawezi kuwepo kila sehemu, hawezi kufanya kazi zote peke yake, then hapo tunaweza kupata mafanikio!
Kwa sasa kuna watu bado wanaishi upinzani na kupinga hata juhudi na nia njema za mh raisi!
Ukifanikiwa kuamini kuwa Magufuli hana uwezo kuliko wewe katika kuibadili hali unayochukia, basi amini tu kuwa tatizo hilo zimeshakuwa half solved!
Ndugu zangu tuache kulalamika, tuwe sehemu ya ufumbuzi, tukosoe ktk njia ya ujengaji lakini sio kulaumu tu, hatutoi alternatives! Upinzani sio kuleta ugumu nchi isitawalike Bali ni kutoa maoni mbadala yanayoleta uboreshwaji!
Watanzania kila kitu kinaanza na (mimi) wewe...
 
Back
Top Bottom