Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

AZIMIO LA BARAZA KUU LA UONGOZI LA TAIFA KUHUSU TANGAZO LA MWENYEKITI WA TUME YA UCHAGUZI YA ZANZIBAR LA KUITISHA UCHAGUZI WA MARUDIO ZANZIBAR Baraza Kuu la Uongozi la Taifa la THE CIVIC UNITED...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imesema imejipanga kuhakikisha Uchaguzi Mkuu wa marudio utakaofanyika Machi 20, mwaka huu unakuwa huru na haki kwa kupambana na makundi ya aina ya watu...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
  • Redirect
Chama cha CUF kimesema hakitashiriki uchaguzi uliotngazwa na tume ya uchaguzi Zanzibar (ZEC)mnamo march 20 na kimesema uchaguzi halali umeshafanyika.
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
serikali imeweka vipingamiz kwa TBC kuonesha bunge live,kwa sababu ya kiuchumi, nk wazijuazo wenyewe....nilitaka kujua vip vyombo binafs kama ITV,AZAM TV,...NK HV HAVITAONESHA?? AU NAVYO VILIKUWA...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Kikao cha Baraza kuu la uongozi la chama cha Wananchi CUF kilichoketi leo makao makuu ya Chama hicho Buguruni Dar es Salaam na kuhudhuliwa kwa Mwaliko Maalum na Prof. Lipumba na Juma Duni Hajji...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Baraza kuu la chama cha CUF chini ya mwenyekiti wake wa muda wametangaza kutokushiriki uchaguzi wa marudio Zanzibar. ============================== AZIMIO LA BARAZA KUU LA UONGOZI LA TAIFA...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Baraza kuu la chama cha wananchi CUF chini ya mwenyekiti wake wa muda wametangaza kutokushiriki uchaguzi wa marudio Zanzibar.
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Wana JF na watanzania wote wenye kupenda Demokrasia na Amani Tanzania, poleni! Wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu mwaka 2015 kuna watu tulisema kwa vile CCM imeishiwa pumzi na imepoteza mwelekeo...
0 Reactions
Replies
Views
Juzi Msajili wa Vyama vya siasa Jajio Mutungi alikaririwa akikiasa chama kikuu cha upinzani Zanzibar CUF kutosusia uchaguzi unaotarajiwa kurudiwa hivi karibuni. Alikaririwa akisema kwa kuwa ZEC...
0 Reactions
1 Replies
786 Views
Hivisasa,Mbunge wa Nzega Mjini-CCM Hussein Bashe anaendelea kuchangia Hotuba ya Rais Bungeni. Pamoja na kusema mambo mbalimbali ya maana na mantiki,Ndugu Bashe amepotosha na amepotoka kwa jambo...
2 Reactions
22 Replies
5K Views
Mheshimiwa rais Nape ni aina ya watu ambao ni wafia chama yaani kuwa kiongozi wa serikali hana chembe ya sifa hata kidogo. Raha ya Nape ni kuhakikisha chama kinatetewa hata penye masihara...
0 Reactions
0 Replies
691 Views
Nimemsikiliza Nape alipokua akitoa sababu za kusitisha matangazo ya moja kwa moja. Ukizisikiliza hoja zile, kama huoni mbali basi utamsifia sana Nape na serikali yake. Ni hoja tamu kuzisililiza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimewaza na kutafakari kwa kina kuwa Magufuli kama mwenyekiti wa baraza la mawaziri alikubali wazo la NAPE na kulibariki kuwa ni nzuri.Katibu mkuu kiongozi ambaye ni katibu wa baraza la mawaziri...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
  • Redirect
Nimekuwa nikijiuliza ilikuwaje aliyekuwa Mkurugenzi wa bandari Madeni Kipande kuondolewa ukurugenzi kisha kuteuliwa kuwa katibu tawala mkoa. Baada ya kuwajibishwa juzi ndipo nimebaini kuwa kumbe...
2 Reactions
Replies
Views
Mara nyingi najiuliza maswali ambayo naamini humu kuna great thinkers ambao wanaweza kunisaidia. Kazi kubwa ya wabunge ukiacha kutunga sheria ni kuishauri serikali bila kujali unatoka chama gani...
3 Reactions
38 Replies
3K Views
Salaam, Leo Bunge la Jamhuri linaanza na hotuba ya rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli aliyoitoa bungeni. Hotuba ya rais imepewa siku tatu kujadiliwa, lakini kumbuka...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Labda Kuwe na Gaidi anataka Kulipua Bunge, Askari wanatumiwa Bungeni Ni wale wa Bunge Tu. Kuleta FFU Bungeni, Usalama wa Taifa Askari Kanzu Kupiga wabunge ati ili wakubali Kuburuzwa Ni Serikali...
3 Reactions
29 Replies
5K Views
Bunge letu linatakiwa liwe na msemaji au ofisa habari wa bunge ambaye kazi yake itakuwa kukusanya taarifa zote za kilichoendelea bungeni kila siku na kuwapa waandishi wa habari na vyombo vya...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
  • Redirect
Ninajiuliza kwa kipindi kirefu bila ya kupata jibu la uhakka, kitu kilichompelekea muasisi wa chama cha CCM Nyerere kukwepa au kusususia kuvaa shati ya rangi ya kijani, rangi ambayo ni kielelezo...
0 Reactions
Replies
Views
Wakuu sitaki niongee kishabiki wala kwa hisia ila tu naongea kiuhalisia kupitia jukwaa hili! Nimejaribu kufanya ulingani wa maspika wa awamu zote zilizopita hasa baada ya mfumo wa vyama vingi...
3 Reactions
56 Replies
10K Views
Back
Top Bottom