Je, unamjua Masamaki anayekaa Pugu Kajiungeni?

Kyenju

JF-Expert Member
Jun 16, 2012
4,621
1,706
Huyu jamaa anaitwa MASAMAKI anakaa PUGU KAJIUNGENI, ni mfanyakazi TRA na mke wake ni mfanyakazi wa benki ambayo sikufanikiwa kufahamu jina lake.

Huyu jamaa ni maarufu sana katika eneo lile na hata maeneo ya jirani na pale, ukimtaja Masamaki utaambiwa Masamaki iko pesa. Ana viwanja na nyumba nyingi eneo lile na hata maeneo ya jirani na pale.

Swali ninalojiuliza, je huyu jamaa anayo miradi ipi ya kumfanya hawe na pesa ya kufanya mambo kama yale na kujijengea umaarufu.

Mwenye details zake atujuze.
 
Huna haja ya kuhangaika na masamaki au madagaa. Nenda kwa Lowassa utapata hayo mabaki ya ufisadi. Ila jaribu kujitegemea badala ya kutegemea wengine.
 
mmmh!nini motive ya kutaka kuyajua yote hayo!nadhani ungetuambia kama kuna tuhuma yoyote dhidi yake ili tujue tuna mjadili masamaki kwa lipi!
 
Kuna mambo mengi ya kushughulikia cyo ilo cha mcngi fanya kazi kwa bidii kwa njia ya halali na utafanikiwa
 
acha roho ya kwanini wewe,unataka wote hapo mtaani muwe mafukara,hiyo ni kiasi gani umekata tamaa ya maisha. Kununua mashamba na viwanja ndo iwe sababu? Umesema anafanya kazi Tra na mkewe benk,je unajua mishahara yao na ni vipi wanajinyima? Acha roho ya kwanini wewe,na huo mwanzo uchawi.
 
Mkuu umesahau kuwa TRA ni mungu watu? Mi nishangai nawajua wengi wa TRA walivyo
 
acha roho ya kwanini wewe,unataka wote hapo mtaani muwe mafukara,hiyo ni kiasi gani umekata tamaa ya maisha. Kununua mashamba na viwanja ndo iwe sababu? Umesema anafanya kazi Tra na mkewe benk,je unajua mishahara yao na ni vipi wanajinyima? Acha roho ya kwanini wewe,na huo mwanzo uchawi.

Mbona una-panic mtu wangu, jamaa yako nini?
 
Wivu wa kijinga ! Angekuwa hafanyi kazi TRA ungejiuliza? Angekuwa mhindi ungejiuliza? Angekuwa mzungu? Tatizo wabongo hatupendani. Mafanikio sio tuhuma!
 
Pengine angekuwa hafanyi kazi tra angekuwa na fedha zaidi ya hizo. Wapo watu ni wabadhirifu na hawana hata kiwanja. Na wapo watu waadilifu na wana mali za kutosha.
 
Huyu jamaa anaitwa MASAMAKI anakaa PUGU KAJIUNGENI, nimfanyakazi TRA na mke wake ni mfanyakazi wa benki ambayo sikufanikiwa kufahamu jina lake.

Huyu jamaa ni maarufu sana katika eneo lile na hata maebeo ya jirani na pale, ukimtaja Masamaki utaambiwa masamaki iko pesa. Ana viwanja na nyumba nyingi eneo lile na hata maeneo ya jirani na pale.

Swali ninalojiuliza, je huyu jamaa anayomiradi ipi ya kumfanya hawe na pesa ya kufanya mambo kama yale na kujijengea umaarufu.

Mwenye details zake atujuze.

Huyo Masamaki ana pesa kuliko Bakhressa hata ushangae namna hii? Umaarufu gani aliojijengea kwa pesa hizo wakati hata kichaa anaweza kuwa maarufu mtaani kwenu? Huko pugu miaka michache tu iliyopita lilikuwa pori hata wewe ungenunua mashamba kibao kwa pesa kidogo, mbona hushangai wanaojenga Oysterbay sasa hivi unashangaa huyo jamaa anaviwanja Pugu?

Nyie ndiyo mnao enjoy kuona masikini wanajazana mtaani kwenu ili muonekane wafalme? Huna motive ya kuleta thread hii, lete sababu za kuwa suspicion kwa huyu jamaa, siyo mashamba tu...eti ana umaarufu.
 
Kyenju acha kuchunguza watu. Tafuta maisha yako na uyaboreshe...ya watu hutoyaweza mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Hayo mawazo ya kijinga kabisa kudhania tunaweza kuungana na wewe kwenye shughuli zako za wivu. Nenda kakope benki na wewe, acha ujinga na roho ya kwa nini
 
Huyu jamaa anaitwa MASAMAKI anakaa PUGU KAJIUNGENI, nimfanyakazi TRA na mke wake ni mfanyakazi wa benki ambayo sikufanikiwa kufahamu jina lake.

Huyu jamaa ni maarufu sana katika eneo lile na hata maebeo ya jirani na pale, ukimtaja Masamaki utaambiwa masamaki iko pesa. Ana viwanja na nyumba nyingi eneo lile na hata maeneo ya jirani na pale.

Swali ninalojiuliza, je huyu jamaa anayomiradi ipi ya kumfanya hawe na pesa ya kufanya mambo kama yale na kujijengea umaarufu.

Mwenye details zake atujuze.

duh?,mkuu una kijiba cha roho
 
Huyu Masamaki ni mtu wa kawaida tu, hana umaarufu huo unaousema. Sana sana namfahamu ni mtu anayekula hovyo hovyo yeye na mkewe kiasi kwamba nilikuwa najiuliza hata mechi zao za kitandani inakuwaje! Nimewahi kushuhudia akikatiwa kitimoto kilo 5 wakaitandika yeye na mkewe na mabia yasiyo na idadi. Magari yake ni haya ambayo hata sisi tunaagiza huko walikochoka kuyatumia yaani used na yeye atakuwa na excemption anayajaza tu uani.
 
Tafuta Maisha ndugu!hao Mbona Wako wengi sana utasumbuka sana kupenda kuchunguza watu na Maisha Yao,umeuliza swali jibu lako ni Mimi simfahamu na wala hakuna haja yakumfahamu basi.Get life a life,na utapunguza kuhangaika na watu
 
Back
Top Bottom