Shukrani A. Ngonyani
JF-Expert Member
- Feb 23, 2014
- 1,182
- 2,014
Leo ndo CCM wanaona dhambi mabalozi kushiriki siasa?
Mbona kule Shinyanga balozi wa China alivaa gwanda na kuhutubia mkutano wa CCM chini ya Katibu mkuu Kinana?
Wapinzani walipopiga kelele kuhusu mabalozi kujihusisha na siasa mliwaona wajinga na mkajaa kiburi.
Leo mnalaumu eti "kuna mabalozi wanaenda kunywa chai na Seif kwa siri".
Acheni woga, mtu aliyeamua kudhulumu, kuiba haki na kuminya demokrasia haogopi. Woga wa nini? Unatoka wapi?