Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna watu ukiwaambia habari au uwezekano wa CCM kutoka madarakani, wanakuona unaongea jambo ambalo haliwezi kutokea leo wala kesho na zaidi wataishia kukushangaa tu na hii ni kwasababu...
45 Reactions
176 Replies
13K Views
Tunapokuja kupiga kura tunaingia mkataba wa miaka mitano na tunayempigia Kura. Mwisho wa miaka mitano tutapima aliyisema atafanya na Mapya atakayofanya tena. Kwa nini nawaza hivi. Kuna mbunge wa...
1 Reactions
4 Replies
775 Views
RAIS MAGUFULI NI MGOMBEA URAIS KAMA MIMI NA ANASIMAMA SEHEMU YOYOTE ANASALIMIA NA HAZUIWI LAKINI MIMI MNATAKA KUNIZUIA NISISALIMIE WANANCHI WA DIDIA"PROF. LIPUMBA" KATA YA DIDIA, SHINYANGA...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Kama mji mkuu Tanzania kwa hadhi na historia, jiji la Dar ndio lango la mambo yote, yawe mazuri au mabaya. Ni kweli Dar ni bandari salama ila sio kwa kupoa huku kwenye vuguvugu hili la...
14 Reactions
89 Replies
9K Views
Karatu imesimama muda huu na habari ni Tundu Lissu Picha: Mgombea urais wa Jamhuri ya muungano kupitia CHADEMA akipita Karatu kuelekea wilayani Hai ambapo atakuwa na mkutano wa kampeni kesho...
88 Reactions
250 Replies
35K Views
Bila shaka kampeni za mwaka huu ni ngumu zaidi ya zile za 2015 na hata za 1995. Jana tulishuhudia mgombea uraisi kupitia CCM akiwapigia magoti wananchi akiwaomba kura, Je, hii ni heshima kwao au...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Maendeleo ya watu hayakuwepo na hata sasa yawezekana hayapo japo siyo kwa wote, maendeleo ya vitu hayakuwepo tukaamua kuanza na maendeleo ya vitu ambayo yanaleta heshima ya nchi na kuleta...
0 Reactions
2 Replies
951 Views
Habari za humu wadau, poleni na hongereni na pilika za kampeni. Juzi kati nimesikitishwa na kitendo cha mgombea kupitia kiti cha ccm ambaye kawaita watu wa kigoma kwamba wana akili sana...
13 Reactions
58 Replies
6K Views
Watanzania wenzangu nichukue nafasi hii kuwaomba na kuwasihi kwamba tarehe ya Uchaguzi tuhimizane kupiga kura, kwa wale ambao tutaweza pia kusafiri eneo moja had lingine pia itakuwa nzuri kwa...
0 Reactions
0 Replies
735 Views
Dkt. Magufuli amewataka wananchi wa Makambako wamchague Mgombea Ubunge wa CCM Jah people kwa sababu kwenye ubunge hatuchagui degree bali mtu. Dkt. Magufuli amesema Jah people salamu yake ni...
4 Reactions
41 Replies
5K Views
24 Agosti 2020 Katika mahojiano maalum Mwanzuoni wa masuala ya binadamu, mhadhiri mstaafu wa Chuo Kikuu cha UDSM mwalimu Dr. Azavery Lwaitama amesema anaufuatilia michakato uchaguzi wa Oktoba...
28 Reactions
97 Replies
14K Views
Wakuu habari za jioni poleni kwa kutafuta na mihangaiko ya kutwa nzima. Mimi sina mengi ila nina imani humu kuna watumishi wa tume ya uchaguzi basi wafikishe salamu hizi, tunaomba mdahalo wa...
18 Reactions
291 Replies
22K Views
Mgombea wa Chadema Liberatus Mwang'ombe aendelea na kampeni zake katika Jimbo la Mbarali Wananchi wengi wajitokeza kumsikiliza.
9 Reactions
10 Replies
3K Views
Hapa ni Kongoro, Mswiswi- Mbarali. Leo kabla ya Dkt. Magufuli kupita vijana wamesimamiwa na polisi kushusha bendera za CHADEMA. ===== Hapa ni Kongoro, Mswiswi- Mbarali. Leo kabla ya JPM kupita...
4 Reactions
72 Replies
8K Views
Mgombea urais wa CCM, Magufuli anadai kwenye kampeni kuwa atashinda Uchaguzi. Je, anatumia kigezo gani? Kwenye mikutano yake ya kampeni anawaambia wananchi kuwa wamletee Diwani na Wabunge wa CCM...
17 Reactions
50 Replies
4K Views
Habari za sasa hivi wanaJF, kama ilivyo kawaida kuwaletea habari mbalimbali ambazo zinafika kwenye meza yangu kuhusu chama chetu CHADEMA huwa siachi kuwaeleza ili kupata ufumbuzi. Morogoro ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakati kesho tukijiandaa kwa mkutano mkubwa Geita Mjini, leo Katoro muda huu Tundu Lissu ametua hapa na umati mkubwa umejitokeza kumsindikiza na kusikiliza sera za kuwakombia. Kwa hakika lipo la...
50 Reactions
175 Replies
21K Views
•Utotoni ukiona mtu anatishia sana kwa maneno tulikuwa tukimpuuza maana mfanyaji HUSEMA mara moja na KUTENDA, maneno mengi ya ICC, kila siku ni vitisho vya kitoto. Kura na maamuzi yanafanywa na...
4 Reactions
44 Replies
4K Views
Ikiwa kumesalia mwezi mmoja tu kufanyika kwa uchaguzi mkuu, hali ya CCM kwenye jimbo la Temeke ni dhoofuli hali, Mgombea wake aliyeshindwa kura za maoni na Abbas Mtemvu aitwaye Dorothy Kilave...
13 Reactions
74 Replies
9K Views
Wabunge wa chama changu walikuwa wanakatwa mamilioni ya shilingi ili baadae pesa hizo zingetumika kwa ajili ya uchaguzi wa mwaka huu. Lakini inasemekana pesa hizo zimeyeyuka kama barafu...
5 Reactions
65 Replies
6K Views
Back
Top Bottom