PostGE2025 Mwigulu: Wanasema walikufa watu Elfu 10, Ulikuwepo?

PostGE2025 Mwigulu: Wanasema walikufa watu Elfu 10, Ulikuwepo?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Waziri Mkuu wamchongo anaendelea kutuchamba kama, boss wake mwingine

Hii serikali ya mchongo inahuzuni sana wanatuona kama watoto wao nyumbani
===============
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watu wenye nia ovu wanafanyia biashara maisha ya Watanzania kwa kuzusha taarifa za uongo.

..sasa kwanini serikali haitoi taarifa za UKWELI?

..kwanini wanatoa taarifa za mali, na miundombinu, iliyoharibiwa peke yake?
 
Tatizo la ni ujinga

Remedy pekee ya watanzania ni kuacha kuteka watu, kuachiwa kwa Lissu; kubwa zaidi ni huduma bora za jamii na kumudu gharama za maisha.

Hayo ndio pekee yanaweza punguza maumivu ya watanzania.

Sasa kama waziri mkuu anazunguka nchi nzima kuongea propaganda na kudhani hiyo ndio tiba ya watanzania. Inakueleza the depth of stupidity huko serikalini.

Kuzunguka nchi nzima kubishana na takwimu wakati serikali ilifanya atrocities (hilo ndio la msingi) alibadili matendo yake.

Kuzunguka nchi nzima kuwaongopea watu huduma za afya zitakuwa bora kuanzia January, ilihali serikali aijapeleka vitendea kazi mahospitalini na tools zingine za uzazi. Huko hakutozuia hospitali kuwataka wajawazito kwenda kununua hivyo vifaa pharmacy.

Badala ya kufanya kazi wao wako busy na ujinga. Watamtoa tu huyo mama aamini asiamini.
 
Waziri Mkuu wamchongo anaendelea kutuchamba kama, boss wake mwingine

Hii serikali ya mchongo inahuzuni sana wanatuona kama watoto wao nyumbani
===============
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watu wenye nia ovu wanafanyia biashara maisha ya Watanzania kwa kuzusha taarifa za uongo.

Huyu jamaa hana akili wala hekima na serikali yake ya mchongo
 
Hivi viatu havimtoshi, kwanza hawaelewi feeling ya watanzania juu ya jambo hili.
Watz siyo wa kufokewa nyakati hizi, wanadhani kuwa kiongozi wa nchi ni kumiliki wananchi kama watoto wako na kuwaamrisha unavyotaka.
Tuna safari ndefu na kuna kila dalili zinaonekana kuwa hili jambo hailijaisha.
 
Back
Top Bottom