Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

📌 #D25 🇹🇿 #SAMIAMUSTGO #riseupTanzania #StopAbductionsTz #FreeTunduLissu #wakeupTanzania #FreePolepoleNow #struggle_for_africa 🇹🇿🫂🇺🇬🇿🇦
2 Reactions
2 Replies
227 Views
1Wathesalonike 4:13 “Lakini, ndugu, hatutaki msijue habari zao waliolala mauti, msije mkahuzunika kama na wengine wasio na matumaini. 14 Maana, ikiwa twaamini ya kwamba Yesu alikufa akafufuka...
4 Reactions
9 Replies
257 Views
Adhabu walioitoa TCRA ilikuwa inaisha tarehe 9 disemba. Sasa kwa nini wanawanyima Watanzania uhuru wa kujadili na kupeana habari juu ya mustakabali wa taifa lao? Kwa nini TCRA wanakiuka na...
1 Reactions
5 Replies
299 Views
Kupitia Bunge la 12 linaloendelea Jijini Dodoma, Serikali imepeleka Bungeni Muswada unaopendeleza Mabadiliko ya Sheria ya Idara ya Usalama wa Taifa. Pamoja na Mambo mengine, Sheria inapendekezwa...
5 Reactions
40 Replies
10K Views
BWANA NA MWOKOZI WETU AWE JUU YENU KILA MMOJA KWA AMANI YAKE WANA JF MLIPO POPOTE Naenda kwenye mada . Nyie watekaji na wauwaji wa Tanzania wenzenu ,chukua ujumbe huu tena kwa umakini mkubwa...
0 Reactions
0 Replies
175 Views
Hii Taasisi inakwenda kupoteza hadhi yake. Inaongozwa na chawa kachara. Matamshi yake ya juzi yanaivua nguo taasisi acha yeye mwenyewe anakuwa "takataka"! Kupoteza heshima yake kubwa...
8 Reactions
14 Replies
329 Views
Haijawahi kutokea nchi kuwa na kiongozi mropokaji kama huyu wa sasa. Huyu mtu ni mropokaji na mwongo wa kutisha. Anawadanganya wajinga eti Tanzania inaongoza kwa uwingi wa uranium. Haelewi hata...
11 Reactions
10 Replies
460 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Jaji Joseph Sinde Warioba mara baada ya mazungumzo yao, Ikulu Jijini...
13 Reactions
155 Replies
5K Views
Ngoma hii hapa. Anasema yeye ni mbuzi wa kafara haogopi kufa wala kutekwa Tukumbuke Mwigulu ndo katoka juzi juzi huko. Je wataua na kuteka wangapi? Wakikamata mmoja wanaibuka mia ahah aha ha...
46 Reactions
43 Replies
1K Views
Kwa kweli hii ni interview ya kufunga mwaka. Mh.Bwege amemungushia Rais Samia lawama zote kwa yaliyotokea Oct 29. Amekwenda mbali na kumtaka aombe radhi, atubu, na aahidi kutorudia. Pia amesema...
7 Reactions
15 Replies
626 Views
Mwenyekiti wa Kituo cha Wanahabari Watetezi wa Rasilimali na Taarifa (MECIRA), Mchange Habibu Mchange amedai kuwa sababu ya watu kufariki Oktoba 29, 2025 na siku zilizofuata ni wao kuchochewa na...
1 Reactions
37 Replies
896 Views
“Hakuna Mwanasiasa yeyote hapa Tanzania asiyetamani kuwa Mwanachama wa CCM, wote walionitukana wakati nimejiunga na CCM sasa hivi tuko nao wote CCM” Habibu Mchange
0 Reactions
3 Replies
190 Views
Hii kamata kamata kila mtaa inayofanywa na serikali iliyojiweka madarakani ya Samia nadhani wote mnaiona. Samia Alihadaa kuwa ameunda tume itakayoshughulikia haya mambo. Sasa imekuwa mwendo wa...
10 Reactions
22 Replies
499 Views
sounds familiar? waziri mkuu wa zamani wa pakistani imran khan na mke wake full burka, kahukumiwa jela bila ya haki ya kusikilizwa, in islamic pakistani. In yet another blow from the...
0 Reactions
2 Replies
199 Views
HAYA NI BAADHI YA MAMBO YALIYOMO KATIKA WARAKA WA SHURA YA MAIMAMU , WARAKA MZIMA UPO KATIKA ATTACHMENT SHURA YA MAIMAMU TANZANIA S.L.B.2055 DAR ES SALAAM. 0748410746 WARAKA WA IDD ADH-HAA...
17 Reactions
37 Replies
2K Views
Tangu ghasia za kuukataa uongozi wa Rais Samia ile tarehe 29 Oktoba mpaka leo naona kama kila Kiongozi anaongea la kwake. Na hii ndio inazidi kuleta mkanganyiko zaidi. Kila anakopita Waziri mkuu...
2 Reactions
7 Replies
282 Views
Mzee Mwandambo bado anaendelea kupiga misumari yake ya moto kabisa! ================ Unahitaji watu sahihi wa kukutoa kwenye hicho kifungo ambapo Tanzania ni Gereza kila MTU yupo kifungoni"...
6 Reactions
12 Replies
493 Views
Hali ilivyo sasa, utekaji ni sera ya serikali. Kama siyo, basi serikali imeshindwa na watekaji. Kama siyo, basi kuna namna inavyofaidika nao. Kama siyo, basi tunaowaita watekaji si watekaji bali...
1 Reactions
12 Replies
337 Views
Ndugu zangu, Muda huu (mchana wa leo Disemba 20, 2025) askari wenye silaha wapo nyumbani kwa wazee wangu, kijiji cha Old Moshi Kidia. Leo wameenda na magari mawili, yenye namba za usajili...
47 Reactions
107 Replies
3K Views
1. Wazee Raisi kakutana na wazee tu 2.pikipiki Zinaua na kuacha vilema vya maisha 3.polisi Kesi za uhaini pale kisutu sikuona mzee 4.CCM Bunge lote ni la CCM ila wamejaa wazee...
2 Reactions
5 Replies
230 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…