Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,197
- 6,944
Tangu ghasia za kuukataa uongozi wa Rais Samia ile tarehe 29 Oktoba mpaka leo naona kama kila Kiongozi anaongea la kwake. Na hii ndio inazidi kuleta mkanganyiko zaidi.
Kila anakopita Waziri mkuu Mwigulu Nchemba anasisitiza ghasia zile zilikuwa ni sababu ya vita vya kiuchumi.
Yeye mkuu wa nchi alisema ni watu wa humu nchini ambao walitaka kuangusha dola.
Ridhiwani kikwete akasema ni sababu watu wanaaminishwa kuwa kuna viongozi wana utajiri mkubwa uliopatikana kwa ufusadi na wizi wa mali za umma.
Sasa kwa mantiki hii nani ni mkweli? Tumwamini nani?