Desierto JF-Expert Member Joined Aug 26, 2019 Posts 910 Reaction score 3,143 Dec 21, 2025 #1 1. Wazee Raisi kakutana na wazee tu 2.pikipiki Zinaua na kuacha vilema vya maisha 3.polisi Kesi za uhaini pale kisutu sikuona mzee 4.CCM Bunge lote ni la CCM ila wamejaa wazee wote Vijana hao ndo maadui zetu wakuu.
1. Wazee Raisi kakutana na wazee tu 2.pikipiki Zinaua na kuacha vilema vya maisha 3.polisi Kesi za uhaini pale kisutu sikuona mzee 4.CCM Bunge lote ni la CCM ila wamejaa wazee wote Vijana hao ndo maadui zetu wakuu.
M Mtemi Mbojo JF-Expert Member Joined Apr 27, 2017 Posts 2,345 Reaction score 4,068 Dec 21, 2025 #2 Bila kusahau HOFU na kukosekana kwa UMOJA miongoni mwao
K KARLO MWILAPWA JF-Expert Member Joined Apr 10, 2019 Posts 3,253 Reaction score 5,519 Dec 21, 2025 #3 Hapo ukiambiwa hueleweki utaanza tantalila kibao
AXIOM APEX VERBOSE JF-Expert Member Joined Sep 12, 2022 Posts 14,185 Reaction score 24,443 Dec 21, 2025 #4 KARLO MWILAPWA said: Hapo ukiambiwa hueleweki utaanza tantalila kibao Click to expand... Wazee wamejaa Wizara ya Vijana kufanya nini?
KARLO MWILAPWA said: Hapo ukiambiwa hueleweki utaanza tantalila kibao Click to expand... Wazee wamejaa Wizara ya Vijana kufanya nini?
TODAYS JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 15,267 Reaction score 25,557 Dec 21, 2025 #5 Kuna kundi kubwa umelisahau... 5. Vijana wanao ogopa kudai maslahi ya nchi kwa ujumla. Hao ndiyo sumu, wanasahau nguvu yao ndiyo inaleta ukombozi popote.
Kuna kundi kubwa umelisahau... 5. Vijana wanao ogopa kudai maslahi ya nchi kwa ujumla. Hao ndiyo sumu, wanasahau nguvu yao ndiyo inaleta ukombozi popote.
Bungurere JF-Expert Member Joined Jan 24, 2023 Posts 424 Reaction score 507 Dec 21, 2025 #6 Rushwa na Usaliti