Kwanza tueleze hao mabeberu ni kina nani na ili uwe beberu unatakiwa uwe na sifa zipi?
Tusaidie kujua jinsi nchi yetu ilivyo na uongozi Kamili inavyoweza kuhujumiwa na hao mabeberu
Tupe mifano...
Wajumbe.
Ubinadamu kazi. Na kila mwanadamu anapita njia nyingi sana katika makuzi yake.
Ipo dhana moja muhimu sana. Dhana ya utimamu wa kihisia.
Hisia za mwanadamu huwa na athari chanya au hasi...
Inamaana jf bado imefungiwa na haijui nani ameendeleza kufungia kwani data zinaonesha ni nani kama sio mamlaka haramu isiyo heshimu haki za watu.
Hali hii sio solution na haivumiliki nchi...
Sijui nani huwa anawaelekeza kitu cha kujadili maana huwa naona wanashambulia mtu badala ya kujibu mada husika.
Kipindi tunajadili issues za TEC na maandamano walileta mashehe kuwashambulia...
Kwenye mahojiano na Jamhuri TV, Jaji Mstaafu Joseph Warioba amesema kuwa Serikali ikubali imechangia sana kwenye hali iliyotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu, kwani matukio hayo yalifanywa na Serikali...
Mzee warioba amecheza kama Messi, Rais anatafuta watu apige nao picha ilikuonesha anaumoja sasa huyu mzee baada yakutoka pale amepiga mawe bora asingemuita.
Sasa amuite na Lissu aje kumshona...
Nimefika hapa chato nikaona kagest chakavu kameandikwa Magufuli lodge, yaani nmeingia ndani naambiwa ni kakwake, ka enzi akiwa mwalimu. Nikauliza huduma ya kulala naambiwa Kako kwa Ajili ya shoo...
Mamlaka yenyewe mnaijua. Inadhibiti maudhui yenu kwa kila hali. Inawaongoza cha kuandika na kusema. Leo hii mimi nilikuwa sio wa kuacha kutazama taarifa ya habari saa 2 usiku kwenye ile...
wassup ma-niggas mlioko kwenye hili jukwaa! Inabidi sasa tuongee lugha moja maana hii straight-up fuckery inazidi kimo. Tunakaa kimya mnadhani sisi ni dead bodies? Mnatuona kama sisi ni lame-ass...
Wakuu mmesikia huko? John Heche rasmi ametangaza kumuunga mkono Tundu Lissu na atagombea Umakamu Mwenyekiti wa Chama.
Heche ameongeza "Mimi Mbowe kwangu ni Baba wa Kisiasa, amenilea na hamheshimu...
KUTOKA kwa Hilda Newton
Baada ya kuona watu wamegoma kwenda kutoa maoni sasa wameanza kufuata watu inbox.
Mnataka watu waje kutoa maoni ili mumsaidie Idd Amin Mama kujua mashaidi ambao anajua...
Huyu ni descendant wa waarabu. Gene ya ukatili ipo, imejishihirisha sasa.. kilichofabnyika 29 ni version ya ukatili wa utumwa walivyokuwa wanawafunga minyororo shingoni, leo kwa vile kuna risasi...
Kuna vyama nchini vinatumwa na mabeberu kuharibu amani ya Tanzania yetu, wanahangaika kwa mabeberu mpaka wameitwa masokwe lakini bado.
Mfano; Hiki chama cha Chadema ndicho chama cha vurugu...
Nimepokea messages kwa namba zote ninazotumia
Wanataka nitoe/tutoe maelezo au ushauri, juu ya kilichotokea kabla, wakati na baada ya uchaguzi, kuisaidia tume.
Sina tatizo na massages hizo...
https://youtu.be/r7Q3c52fIOw?si=vKArWlvV0I3OjLJa
Huyu mama na watu wake are so pathetic na wana mioyo migumu kama mawe....
Hawataki kuwajibika kwa makosa yao yaliyosababishwa na ujinga na...
Naanzia Novemba 2025 naona wengi akaunti zimenuna.
Wengi tunafahamu kuwa vyombo vya ulinzi na usalama wamelipwa na wanaongezewa na incentives lukuki.
Safari hii, nchi imeshikwa pabaya maana...
Wanabodi,
Mliokaribu na Mh. Rais Dr. Samia Suluhu Hassan kipenzi cha watanzania wenye nia Njema na Taifa tunayempenda, Tunaomba kwa heshima na tahadhima tuweze kupata salamu kutoka kwake za Kheri...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amewasilisha ujumbe maalum wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa...
Kwa mtazamo wangu.
Huyu binti anachoangalia ni pesa anayopata bila kujali njia anayotumia kuzipata.
Asha Rose Migiro miongoni mwa waanzilishi wa Tanzania Gender Network Program (TGNP) akaja...
1. Wananchi wangapi walipelekwa hospitali kupata matibabu kwa majeraha ya risasi?
2. Wananchi wangapi walikufa kwa risasi?
3. Miili ya wananchi wangapi walipewa ndugu zao?
4. Miili ya wananchi...