YAH: UTEUZI WA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR
Tafadhali husikeni na mada iliyotajwa hapo juu.
Ofisi ya Baraza la Mapinduzi inapenda kutoa taarifa kwa Vyombo vya Habari na Umma kwa ujumla...
Hamjambo wote!
Moja ya Mambo makubwa ambayo viongozi wakubwa, watu wenye Akili, na matajiri wanathamini sana ni pamoja na HESHIMA. Kwao heshima niya thamani sana.
Walitafuta vyeo na nguvu kwa NJ...
Kama ndani wa jukwaa hili la siasa,
Kwa mtazamo au maoni yako huru, unadhani kimetokea nini na kipi kinakwenda kuamuliwa hata kamati kuu ya chadema taifa kukutana kwa dharura kiasi hicho?🐒
Mungu...
𝗗𝗞𝗧. 𝗠𝗪𝗜𝗚𝗨𝗟𝗨 𝗔𝗞𝗨𝗧𝗔𝗡𝗔 𝗡𝗔 𝗪𝗔𝗠𝗜𝗟𝗜𝗞𝗜 𝗪𝗔 𝗠𝗔𝗕𝗔𝗦𝗜 𝗡𝗖𝗛𝗜𝗡𝗜.
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba, amefanya mazungumzo na viongozi wa Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (TABOA). Kikao hicho kimefanyika...
Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kituambie Wanafunzi tunaosoma hapo, kuna nini katika mfumo wao wa matokeo?
Kuna changamoto nyingi ambazo hazina majibu na zile zinazopewa majibu yanakuwa mepesi...
Kisheria kwa mujibu wa Gazeti la Mwananchi ni kuwa Jaji kupitia Mahakama ana namna mbili za kuwahukumu endapo hawatofika Mahakamani.
1- Mahakama inaweza kutoa hati za kuwakamata ingawa inategemea...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa namna Kesi Ilivyoendeshwa na Kusikilizwa na namna ilivyokwenda na Utetezi uliotolewa ni Wazi Lissu Hawezi Kukwepa ama Kujinasua Kwenye Kupata Kifungo cha Maisha...
Tulichokua tumetabiri sisi wengine aina ya Mashahidi wa Lissu katika kujenga kesi yake ndiyo kilichotokea na Leo Tundu Lissu ameomba kufunga Ushahidi hivyo kesi pande zote ushahidi umefungwa na...
Japo teyari tuna mtazamo yetu kuhusu kilichotokea leo mahakamani hasa baada ya DCI KIngai kukataa kuwa shahidi wa kumteta Lissu na kitendo cha Kingai kuwasemea mashahidi wenzake (CDF na IGP)...
Waundaji maudhui (content creators) wanaoripoti habari na kufanya mahojiano wametakiwa kupata kibali cha uandishi wa habari (accreditation) ili kufuata sheria
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya...
Picha: Rais Samia alipokutana na Tundu Lissu nchini Ubelgiji
LISSU AELEZA MAMBO SABA (7) ALIYOZUNGUMZA NA RAIS SAMIA
1. Ajenda ilikuwa "hali ya siasa ya nchi yetu." mazungumzo yamechukua...
Hawa wapiga Domo wa clouds akina Kampista wamelipwa shilingi ngapi ili kumtetea waziri?Siamini kama hawajui kwamba suala la mpira na timu ya taifa halitakiwi kuendeshwa na wana siasa.Wanatetea...
DC SHAKA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA USHAURI YA KODI KILOSA
Aagiza Vyanzo Vipya na Avujaji mapato udhibitiwe
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Mhe. Shaka Hamdu Shaka, leo ameongoza kikao cha Kamati ya...
Ukiangalia Tanzania ya leo, ni muhimu pia kukumbuka tulikotoka. Ujenzi wa taifa ni safari ndefu, na CCM imekuwa sehemu ya safari hiyo kwa miongo kadhaa.
Tangu kuanzishwa kwake mwaka 1977, CCM...
Uchaguzi ndani ya chama ni kazi ngumu sana na inayohusisha kutofautiana na hata kuumizana wakati mwingine bila kukusudia
Ninadhani ni busara chama kitafute mwaka usiokuwa karibu na uchaguzi mkuu...
Habari ndugu zangu Watanzania
Mara nyingi na kwa kipindi kirefu tumekuwa tukisikia na kuambiwa kuwa Tanzania taifa letu ni kisiwa cha amani, kwamba tofauti na mataifa mengine Tanzania ni nchi...
Kufuatia kudundwa kwa askari wa barabarani ile jana, nimejikuta navuta kumbukumbu za tarehe 29 Oktoba 2026.
Kitendo cha huyo askari kudundwa kimenifurahisha sana!
Hawa ma askari wa barabarani...
Wanabodi
Hii ni makala yangu kwenye Nipashe ya Jumapili ya leo
Naomba kuanza kwa declaration of interest,mimi na Zitto ni marafiki wa intake moja UDSM,namfahamu kwa karibu na huwa...
Friends and Our Enemies,
"How you do anything,is how you
do everything"...Dante.
Tumekuwa siku zote hapa Jukwaani tunasema kwamba yale yaliyotokea 29 October yana viashiria vyote kwamba wapo...
WAKILI PETER KIBATALA AKIMHOJI ACP RAMADHAN KINGAI
WAKILI KIBATALA: Shahidi, katika statement uliyosoma kuna mambo yanamgusa mshitakiwa wa nne?
KINGAI: Ni sahihi.
WAKILI KIBATALA: Kwa nini huwa...