Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Waziri wa nchi ofisi ya makamu wa Rais muungano na mazingira January Makamba amesema mabadiliko ya kweli yanaletwa na uthubutu wa kweli, na uthubutu huo umeanza mwaka huu. Ameongezea maendeleo...
1 Reactions
67 Replies
7K Views
Zikiwa zimebaki siku 13 kufikia mkutano Mkuu wa CCM, dalili njema zinaonekana kwa Ally Mufuruki kuwa katibu Mkuu wa chama hicho akichukua nafasi ya Kanali Kinana.. Kuna uwezekana mkubwa Ally...
1 Reactions
50 Replies
9K Views
Kuna habari zimeenea kuwa TRA sasa hivi kama wanakudai basi wanachukua pesa direct toka kwenya akaunti yako. Haijalishi pesa ni zako au sio zako na pia Haijalishi kama deni ni la biashara au...
0 Reactions
69 Replies
9K Views
TAKUKURU, TRA mko wapi? Swala la Luku ni moja tu angalieni Selcom na Azam wanavyoifanyia serikali yetu bila aibu, katika malipo ya vighamuzi kunaukwepaji kodi wa kutisha uchunguzi wa siri ndani ya...
26 Reactions
265 Replies
36K Views
Nakumbuka wakati wa Katibu Mkuu Yussuf Makamba CCM walipata shida sana kwenye kura za maoni. Mchakato wa kura za maoni uligubikwa na hila nyingi tena zikiratibiwa kutoka ofisi ya Katibu Mkuu wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Niliwahi sikia/kusoma kuwa waziri wa elimu anasisitiza umuhimu wa vyuo vikuu kuwa na wahadhiri wa kutosha na wenye sifa na hata kutishia kuvifunga vyuo ambavyo vitakuwa havina sifa zinazotakiwa...
0 Reactions
0 Replies
802 Views
Nimefurahishwa sana kuona CCM inasoma katiba ya ACT-Wazalendo na kuchukua yale inayoona yatawasaidia kunusuru anguko la chama chao. Nawashauri na vyama vingine vya siasa kuisoma katiba ya chama...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
  • Redirect
Nimefurahishwa sana kuona CCM inasoma katiba ya ACT-Wazalendo na kuchukua yale inayoona yatawasaidia kunusuru anguko la chama chao. Nawashauri na vyama vingine vya siasa kuisoma katiba ya chama...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Habari zenu wana JF, Serikali imeongeza mishahara kwa watumishi wote wa serikali.... kila mtumishi ameongezewa tshs. 3,000/=.... Kodi ya mwaka wa fedha 2016/2017 zimepanda balaa lakini serikali...
0 Reactions
Replies
Views
It is very strange that in spite of the local currency depreciating by over Tzs 70 against the Usd Dollar in short period of only 1 month neither the Bank of Tanzania or th Ministry of Finance has...
8 Reactions
86 Replies
9K Views
Labda kwa mara ya kwanza ktk Historia ya nchi yetu sasa watu wanaanza kuona faida ya Elimu zao, yaani Watanzania sasa wanaajiriwa kulingana na fani zao, hili tumelishuhudia na bado tunaendelea...
0 Reactions
1 Replies
864 Views
Unapojenga chama kwa kutegemea makosa ya CCM au rais JPM unapoteza wakati!! Mlisema CCM itazikwa October 2015 mkatembea na majeneza yaliyofunikwa na bendera ya CCM kuwaonyesha wananchi eti CCM...
2 Reactions
2 Replies
870 Views
SIRI (CONFIDENTIAL). Chama cha mapinduzi CCM kumeibuka hali ya taharuki, wamekuwa wakifanyiana ushushushu kila kona, na kwa kila mjumbe wa halmashauri kuu, mkutano mkuu na kamati kuu ya...
8 Reactions
92 Replies
11K Views
PATRICK Ole Sosopi, Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha) amesema, kamwe vijana wa chama hicho hawatarudi nyuma katika kupigania demokrasia...
7 Reactions
49 Replies
5K Views
  • Redirect
Wana JF Katika kubana matumizi kama tunavyoendelea kuelezwa raisi mkutano mkuu utaofanyika dodoma kuanzia kuanzia tarehe 23.07.2016 utagharimu bilioni 4/ .Ni gharama mkutano mkuu wa kukabathi...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Lowasa awataka vijana wa Bavicha kumlinda Mwenyekiti wao Mchungaji Freeman Mbowe kama nyuki wanavyomlinda Malkia!! Bavicha mmesikiaaaa?? Hivi anayepaswa kulindwa ni JPM anayetumbua Mafisadi ama...
0 Reactions
Replies
Views
Hii elimu ina siasa ndani yake?,nauliza tu. Ushauri mkimaliza kufungia vyuo vya private mzifuate na shule za A-level, O-level private pia. Zibaki za serikali tu. Naona UDOM mmeiingiza kama...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
As all Tanzanians know, on Thursday last week, the Constituent Assembly (CA) apparently voted in favour of a draft constitution, which will be presented before Tanzanians in a referendum-we are...
11 Reactions
38 Replies
8K Views
Awataka wahisani wengine kujitokeza kusaidia. Mstahiki Meya wa Halimashauri ya Manispaa ya Kinondoni Boniface Jacob Leo amepokea msaada wa madawati 100 toka Shirika la Social Action Trust Fund...
0 Reactions
0 Replies
870 Views
Back
Top Bottom