Pagan Amum
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 1,932
- 4,400
Zikiwa zimebaki siku 13 kufikia mkutano Mkuu wa CCM, dalili njema zinaonekana kwa Ally Mufuruki kuwa katibu Mkuu wa chama hicho akichukua nafasi ya Kanali Kinana..
Kuna uwezekana mkubwa Ally Mufuruki akawa katibu mkuu. Ally anaaminiwa kuwa atasaidia kukisuka chama hasa katika suala zima la matumizi. Kwa upande mwingine Kinana naye anapewa nafasi kubwa ya kuendelea ingawa yeye mwenyewe amesikika mara nyingi akiomba kupumnzika...
NB: Mkutano wa 23.7.2016 utakuwa salama sana, na wanaojaribu kukivuruga hawatabaki salama!