Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Hii elimu ina siasa ndani yake?,nauliza tu. Ushauri mkimaliza kufungia vyuo vya private mzifuate na shule za A-level, O-level private pia. Zibaki za serikali tu. Naona UDOM mmeiingiza kama...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
As all Tanzanians know, on Thursday last week, the Constituent Assembly (CA) apparently voted in favour of a draft constitution, which will be presented before Tanzanians in a referendum-we are...
11 Reactions
38 Replies
8K Views
Awataka wahisani wengine kujitokeza kusaidia. Mstahiki Meya wa Halimashauri ya Manispaa ya Kinondoni Boniface Jacob Leo amepokea msaada wa madawati 100 toka Shirika la Social Action Trust Fund...
0 Reactions
0 Replies
867 Views
Wadau nimerejea tena hapa jamvini baada ya kupotea kwa muda,c kwamba ni kwa bahati mbaya napotea...hapana!ni sababu ya kelele za wasiokuwa na jema ndizo hunipoteza.Lakini pia kutathim hali ya...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
kwa ufahamu wangu mawaziri wametoka katika mikoa ifuatayo: 1. Pwani: mawaziri 2 na naibu 1 2. Lindi: mawaziri 2 na naibu 1 3. Iringa: manaibu waziri 2 4. Ruvuma; naibu waziri 1 5. Morogoro...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
*JUKWAA HURU LA WAZALENDO TANZANIA* _*TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI*_ " _TAMKO LA KULAANI KITENDO CHA MEYA WA JIJI KULETA SIASA KWENYE MAENDELEO NA USALAMA_" *Ndugu waandishi wa habari*...
4 Reactions
104 Replies
7K Views
Nimeamka asubuhi na ninalo neno moja Tu kwa watanzania wenzangu. Taifa letu limempata Rais ambaye Ni mzalendo na mwana mapinduzi wa kweli kwa taifa letu. Ikiwa vijana na wazee pasipokuangalia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Zimekuwa zikipigwa kelele hapa jamvini kwa watanzania hasa vijana kuacha kuishi kwa ujanja ujanja, bila kufanya kazi na kutegemea mteremko.. Hii tabia imeshamiri huko bongo labda ni kwasababu...
4 Reactions
104 Replies
20K Views
IN THE LAND NOT NAMED: A CLOWNS' PARADISE* (KATIKA NCHI ISIYOTAJWA: IPO PEPO YA WACHEKESHAJI) There is a land – not named – where clowns live. It is a land where life and...
21 Reactions
86 Replies
6K Views
My friends, the Bank of Tanzania has completely failed to stop the rapid depreciation of the shilling! Leo shilling trading at 1720! Shame! In addition, as the head of the central bank should...
3 Reactions
46 Replies
6K Views
Akiwa anajibu swali la Mbunge wa CUF kuhusu viongozi wa dini kulawitiwa gerezani, waziri Chikawe alikanusha viongozi hao wa dini kufanyiwa vitendo hivyo kwa kuwa watuhumiwa hao waliletwa mahamani...
0 Reactions
85 Replies
12K Views
Pinda ni mtu wa ovyo sana,japo wanasema ni mtu mpole,mcha Mungu nk lakini mimi sijaona hata chembe ya sifa ya kumfanya kuwa rais wa JMT. Hatuwezi kuongozwa na rais kama Pinda. Pinda anajisifia...
8 Reactions
202 Replies
17K Views
Kwa vile Rasimu ya Katiba Inayopendezwa imeshachapishwa kwa mujibu wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba kinachofuata sasa inatakiwa ndani ya Siku Saba Tume ya Uchaguzi ya Taifa na ile ya Zanzibar...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
In response to a growing outcry over corruption and abuse of office, Tanzania is working on a new law to ban elected leaders and civil servants from using their position to build business empires...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Pata nyaraka zote kuhusu ufisadi wa Tegeta Escrow Account Scandal hapa chini
22 Reactions
182 Replies
31K Views
Wadau, baada ya Edward Lowasa kupitia taarifa ya hali ya kisiasa aliyopata akiwa ziarani Mkoa wa Mara hivi karibuni kubaini kuwa kwa sasa amepoteza mvuto Kanda ya Ziwa na kwamba baadhi ya makada...
9 Reactions
186 Replies
13K Views
Ndg Edward Lowasa mwenye kutamani urais kila uchao amezidi kukumbwa na jinamizi linalovujisha siri zake kila uchao. Jana kuna vikao vimefanyika Dodoma na Arusha vikao vyote vimeazimia...
4 Reactions
68 Replies
13K Views
Kufuatia mvutano mkubwa juu ya uwepo wa kipengele kinachotamka mahakama ya kadhi ndani ya rasimu ya chenge, sarakasi sasa ndo zimeanza rasmi jioni ya leo. Huo mvutano unatokana na waislamu...
5 Reactions
88 Replies
11K Views
Ni kwanini serikali haitoa kipaumbele katia uwekezaji wa viwanda hapa nchini?Hivi tukiwekeza katika viwanda ambavyo sehemu kubwa ya maliasili/malighafi zitatoka hapa nchini tutashindwa...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
President Jakaya Mrisho Kikwete delivers his public lecture on "The roll of academic Partnership in funding solution to Global challenges and advancing Tanzanian's Prioritys" at Rutgers State...
8 Reactions
99 Replies
12K Views
Back
Top Bottom