lendila
JF-Expert Member
- Sep 26, 2012
- 5,806
- 4,370
Akiwa anajibu swali la Mbunge wa CUF kuhusu viongozi wa dini kulawitiwa gerezani, waziri Chikawe alikanusha viongozi hao wa dini kufanyiwa vitendo hivyo kwa kuwa watuhumiwa hao waliletwa mahamani zaidi ya mara tatu bila kulalamika, wakaja kulalamika mara ya nne baada ya kufikisha mahakamani.
Hata hivyo Waziri Chikawe amelidhibitishia bunge kuwa watuhumiwa hao watapelekwa hospital ya Amana Na Muhimbili kuchunguzwa afya zao. Vilevile watafuatiliwa mienendo yao kabla ya kupelekwa Polisi kama ilikua mizuri.